Maajabu ya Simba na Yanga kimataifa msimu huu

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Leo sitawananga ndugu zangu wa uto ila nakuja na mada fikirishi ila siyo serious kihiiivyo kwa hiyo wale ambao tunarushiana maneno kila siku embu leo nipumzisheni.

Msimu huu kuna mambo kadhaa yanafanana kati ya Simba na Yanga katika mechi za kimataifa:

1. Simba na Yanga zote zilicheza ugenini ndani ya nchi moja ya Algeria ndani ya weekend moja pale Simba ilipoenda kucheza na Constantine na Yanga ikaenda kucheza na MC Algier. Sina uhakika kama hili limewahi kutokea.

2. Weekend hii ya jana Simba na Yanga zimecheza na timu mbili Sfaxien na TP Mazembe ambazo zinavaa jezi zenye mfanano.

1000039802.jpg

1000039801.jpg

3. Simba na Yanga zote zitacheza mechi zao za mwisho za makundi wakiwa nyumbani na hizi zinaweza kuwa mechi za maamuzi, kama siyo za kujaribu kuongoza kundi basi kufuzu.

4. Mwanzoni mwa msimu huu nilitabiri Simba na Yanga zote kucheza fainali za CAF msimu huu. Je hilo linaweza kutokea? Hilo likitokea linaweza kuibua ajabu lingine ambalo sidhani kama limewahi kutokea katika mashindano ya CAF kwa fainali ya mashindano yote mawili ya CAFCL na CAFCC kukutanisha timu za mataifa mawili tu Tanzania na Misri.
 
View attachment 3194307
View attachment 3194308

CAFCC finalist atakuwa Berkane vs Zamalek/Simba / USM Alger.
 
Umejitahidi sana kuleta mfanano. Ila mwisho wa siku ulitakiwa pia kuweka tofauti yao kwa kusema Yanga inashiriki Kombe la Klabu Bingwa Afrika, halafu simba inashiriki kombe la shirikisho aka Kombe la Luza.
Kiko wapi?
 
Leo sitawananga ndugu zangu wa uto ila nakuja na mada fikirishi ila siyo serious kihiiivyo kwa hiyo wale ambao tunarushiana maneno kila siku embu leo nipumzisheni.

Msimu huu kuna mambo kadhaa yanafanana kati ya Simba na Yanga katika mechi za kimataifa:

1. Simba na Yanga zote zilicheza ugenini ndani ya nchi moja ya Algeria ndani ya weekend moja pale Simba ilipoenda kucheza na Constantine na Yanga ikaenda kucheza na MC Algier. Sina uhakika kama hili limewahi kutokea.

2. Weekend hii ya jana Simba na Yanga zimecheza na timu mbili Sfaxien na TP Mazembe ambazo zinavaa jezi zenye mfanano.

View attachment 3194307
View attachment 3194308
3. Simba na Yanga zote zitacheza mechi zao za mwisho za makundi wakiwa nyumbani na hizi zinaweza kuwa mechi za maamuzi, kama siyo za kujaribu kuongoza kundi basi kufuzu.

4. Mwanzoni mwa msimu huu nilitabiri Simba na Yanga zote kucheza fainali za CAF msimu huu. Je hilo linaweza kutokea? Hilo likitokea linaweza kuibua ajabu lingine ambalo sidhani kama limewahi kutokea katika mashindano ya CAF kwa fainali ya mashindano yote mawili ya CAFCL na CAFCC kukutanisha timu za mataifa mawili tu Tanzania na Misri.
Namba nne imebuma
 
Hapa 4 ulipuyanga, uliamua kuwafurahisha mashabiki maandazi wa yanga. 🤣🤣
 
Back
Top Bottom