Maajabu ya Simba na Yanga kimataifa msimu huu

Maajabu mwenye point 9 atabaki Nazo hadi mwisho na ataishia hatua ya makundi

Yanga atafuzu kibabe
Mungu hapendi uonezi. Yaan nyinyi wakati huo mnapoint 4 mnawasema wenzenu wa pwent 9 wasifuzu ila nyie mfuzu. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mungu hapendi uonezi. Yaan nyinyi wakati huo mnapoint 4 mnawasema wenzenu wa pwent 9 wasifuzu ila nyie mfuzu. πŸ˜‚πŸ˜‚
Mpira umeisha
Fanya kazi masikini wewe
Upo unabishania Simba na Yanga ili iweje asubuhi hii
 
Maajabu mwenye point 9 atabaki Nazo hadi mwisho na ataishia hatua ya makundi

Yanga atafuzu kibabe
Labda atafuzu kibabe kunywa supu.
Hyi u babe wake mwisho vingunguti. Kwenye machinjio ya supu.
 
Ingekuwa vizuri mkazingatia zaidi na kupongeza vile nilivyokuwa sahihi kuliko moja ambayo sikupatia. Jitahidi kuwa na mawazo chanya.
Yaani umewajaza waone kabisa nao wanaanza kuwa na mafanikio kama Simba. Kwa hiyo walivyoona Simba robo fainali wakajua nao imoo.?
 
Uzi huu maisha yake yameishia weekend hii.
 
Uzi huu maisha yake yameishia weekend hii.
Hakuna uzi unaoishi milele.

Point 3 kati ya 4 nilizotaja zilitokea kweli, utabiri mmoja ambao sikuwa nimeutoa mara ya kwanza katika uzi huu bali nilikuwa naukumbushia haujatimia.

Sioni cha kukebehi hapo, acha wivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…