MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943
Kipindi cha nyuma tuzo zilikuwa zikitolewa kwa wakati, ila kuna kiongozi akasogeza mbele utaratibu wa tuzo kwa kigezo cha kuboresha, sasa unajiuliza huyo kiongozi alikuwa.
Anafahamu sababu zilizosababisha tuzo hizo kutolewa mapema? Aliweka katika consideration na alitazama mbele kwamba kwa kusogeza tuzo hizo mbele huenda ikaingiliana na kufanya ratiba kuwa ngumu zaidi? Ilikuwaje akafikia maamuzi hayo?
Kuboresha tuzo ndiyo kusogeza tarehe mbele? Kwanza tuzo za usiku mmoja iweje zikose nafasi katika ratiba? Kwa umuhimu wa tuzo hizo kwa ligi yetu ilipaswa tuzo zitolewe kwa namna yoyote hata kwa uwakilishi. Kuchelewesha tuzo kunaondoa maana na ladha halisi ya Ligi na tuzo zenyewe, Si lazima kila kitu muige kutoka nje.
Pia kama fedha iliyotengwa kwa shughuli hiyo imepigwa semeni tu sio kuleta mkanganyiko na visingizio vingi.