MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943
Na ratiba iko tight sometimes muwe mnalizingatia hili kwenye malalamiko yenu.TFF ya Karia imejaa ukanjanja na ubabaisha mwingi mpaka basi. Ni vile tu ana chawa wake wa kutosha wanaomsifia hata kwenye mambo lukuki ya kijinga na kibabaishaji anayo yafanya ndani ya shirikisho.
Unalinganisha Ligi yetu inayokuwa na ligi zilizokuaMambo ya kawaida hayo, hata PFA nazo zimetolewa baada ya msimu wa EPL 2025/26 kuanza
Usiku mmoja wa tuzo unavuruga ratiba gani? Kwanini waliamua kusogeza mbele tofauti na miaka mingine? Hawakuliona hilo?Na ratiba iko tight sometimes muwe mnalizingatia hili kwenye malalamiko yenu.
Tittle ya thread yako inasema "maajabu ya soka la TFF" it means kwako ni jambo la ajabu(hujawahi kuliona likitokea), ila nimekukumbusha hata EPL wanafanya hivyo. na sisi always tunafanya kwa kuangalia Ligi zilizokua kwahiyo ndugu MwananchiOG bado hauna hoja ya msingi kwasababu ipo wazi kabisa ungekimbilia kusema "ulaya tu hawafanyi mambo kama haya". na shida inapoanzia ni pale ambapo akili yako muda wote inawaza kukosoa tu.Unalinganisha Ligi yetu inayokuwa na ligi zilizokua
Ratiba iko tight kwani zamani wakati hilo tukio la kutoa zawadi lilipofanyika mara tu baada ya ligi kutamatika, ratiba ilikuwa loose? Shida yenu huwa mnamuona huyo Karia wenu kama mtu wa maana sana! Kumbe ni takataka tu.Na ratiba iko tight sometimes muwe mnalizingatia hili kwenye malalamiko yenu.
Weekend hii iliyopita baada tu ya matamasha ingefaa kabisa kutoa tuzo na kumalizana na hilo suala.Na ratiba iko tight sometimes muwe mnalizingatia hili kwenye malalamiko yenu.
Wanachojua ni kumshukuru mama yaoKipindi cha nyuma tuzo zilikuwa zikitolewa kwa wakati, Ila kuna kiongozi akasogeza mbele utaratibu wa tuzo kwa kigezo cha kuboresha, Sasa unajiuliza huyo kiongozi alikuwa
Anafahamu sababu zilizopelekea tuzo hizo kutolewa mapema? Aliweka katika consideration na alitazama mbele kwamba kwa kusogeza tuzo hizo mbele huenda ikaingiliana na kufanya ratiba kuwa ngumu zaidi? Ilikuwaje akafikia maamuzi hayo?
Kuboresha tuzo ndiyo kusogeza tarehe mbele? Kwanza tuzo za usiku mmoja iweje zikose nafasi katika ratiba? Kwa umuhimu wa tuzo hizo kwa ligi yetu ilipaswa tuzo zitolewe kwa namna yoyote hata kwa uwakilishi. Kuchelewesha tuzo kunaondoa maana na ladha halisi ya Ligi na tuzo zenyewe, Si lazima kila kitu muige kutoka nje.
Pia kama fedha iliyotengwa kwa shughuli hiyo imepigwa semeni tu sio kuleta mkanganyiko na visingizio vingi.