Godfrey- denis
Member
- Aug 26, 2022
- 64
- 124
Kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita, soko la hisa Tanzania limekuwa moja ya maeneo yenye faida kubwa kwa mwekezaji wa kawaida.
Mfano halisi ni hisa za CRDB, ambazo zimepanda kwa zaidi ya 614.29%. Hata baada ya kutoa mfumuko wa bei wa wastani wa 15%, bado unapata ongezeko la takribani 599% — bila hata kujumuisha gawio la kila mwaka!
Maana yake nini?
Kama ungewekeza Tsh 5,000,000 tu mara moja miaka mitano iliyopita, leo hii ungekuwa na Tsh 29,950,000+ na hapo hujajumlisha mtaji wako — fedha zako zingejiendeleza zenyewe huku ukiendelea na kazi au biashara zako.
Lakini CRDB siyo pekee iliyofanya vizuri sokoni!
Zipo pia kampuni nyingine zilizowapa wawekezaji faida kubwa kama:
■ NICOL: 758%
■ DSE: 272%
■ NMB: 226%
■ MKCB: 135%
Na bado orodha inaendelea...
Hitimisho:
Tufanye kazi au biashara kujipatia kipato cha kila siku (active income), lakini tusiache kuwekeza ili tujijengee chanzo cha mapato ya muda mrefu (passive income) kwa ajili ya maisha ya baadae.
Uwekezaji sio kwa matajiri tu — ni kwa mtu yeyote mwenye malengo ya kifedha!
Anza kidogo, anza sasa! 📉📈
Kujifunza zaidi kuhusu uwekezaji kwenye masoko ya fedha na mitaji: 0763721523 (WhatsApp)