Maajabu ya tairi mbovu na utajiri uliojificha ndani yake

Fursa kwa watu wa Dar zaidi nyie wa Kigoma na Nanjilinji tieni bidii kwenye kilimo
 
Mahesabu haya sio mageni hapa mjini labda kwa mgeni wa jiji,hata kilimo cha matikiti tuliambiwa mahesabu kama haya(msalimie Dr.Manguruwe"
 
Bro mshana kwa upande wa bagamoyo kiwanda kipo maeneo gani,?
 
Niliwahi kufanya utafiti wa viwanda vinavyofanya tire retreading hapa Tz.
Nadhani kuna kuchanganyiwa tire mpya na retreaded kwenye maduka.
Mshana Jr nakuja PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…