Maajabu ya Tanzania kwa utalii

Maajabu ya Tanzania kwa utalii

mzeefursa

Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
9
Reaction score
4
Tanzania ni moja ya nchi iliyobarikiwa na vivutio vingi sana vya utalii hapa duniani.

Kwa utafiti uliofanywa kuna vivutio vingi sana hapa Tanzania lakini bado hatupata mwanya wa kujitangaza ipasavyo.

Tanzania inatakiwa kujitangaza kwa nguvu zote katika utalii wake, kwani wageni wengi bado hawaijui Tanzania, ukilinganisha na baadhi ya nchi hapa Afrika mashariki...

Hii ni tovuti inayoonesha baadhi ya vivutio hapa Tanzania>>>http://bit.ly/29TNtwg
>>>http://bit.ly/29TNtwg

Vivutio vya Tanzania...>>>http://bit.ly/29TNtwg

Ushauri kwa serikali:Tuongeze nguvu kujitangaza kwa kutumia technolojia na njia za kisasa ili kufikia kirahisi watu wengi duniani.

ahsante
 
naona umeleta habari yenye fursa ndani yake, najua hizo link mtu akiclick zinakulipa
 
Mim nasoma tour guide and wildlife life management ..napenda nikimalz masomo yangu niazishe kampuni yangu ya utalii.ila bado cjapata elimu juu ya kuwa na kampuni nin cha muhimu
 
1. MIUNDOMBINU (Barabara, Airports/direct flights toka kwenye source, Hoteli zenye hadhi/Usafi)
2. CUSTOMER CARE (Usafiri/madereva, Hoteli & Sehemu zinazopendwa na watalii...sokoni, kampuni Za simu).
3. USALAMA
4. umahiri wa LUGHA za KIMATAIDFA...kiingereza, kichina, kiarabu, kijerumani n.k
5. KODI & Tozo zisizokuwa kodi zipunguzwe
 
MABALOZI wetu huko nchi za nje wanavijua hata hivyo vivutio?. Nilimuona Balozi wetu nchini QATAR kwa kweli naamini sasa tupo sawa sawa kabisa. Na hivi punde tutaipiku QATAR kiuchumi na kimaendeleo.
 
Back
Top Bottom