Maajabu ya Tanzania

Maajabu ya Tanzania

Lyaka Mlima Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2020
Posts
361
Reaction score
521
Ni Tanzania pekee ambayo watu wake ni wavivu wa kufikiri na kuwaza, nchi ambayo watu wake wanachagua kiongozi kwa sababu wamehongwa kilo moja ya chumvi halafu wamiwa hawana uhakika wa kupata hela ya mboga na ugali.

Nchi ambayo watu wake wanapenda sana uongo kuliko ukweli.

Ni nchi ambayo watu wake wanapenda light agendas hata kwenye mambo ya msingi, wako tayari kumchagua kiongozi kwa jinsia yake hata kama ni dhaifu, utasikia huyu ni mwanamme mwenzetu au mwanammke mwenzetu mbali na kwamba hawana qualities.

Tanzania ndiyo nchi ambayo watu wake na wepesi wa kusahau.

Ajenda imeshaletwa ni zamu ya mwanamke 2025 watu hawataki kuuliza mwanamke gani?

Mwenye sifa gani?

Kinachosemwa ni MWANAMKE TU.

kuna kitu hakiko sawa.
 
Wewe si MTANZANIA?

Umeshaishi nchi ngapi kupata "sample size" ya TAFITI YAKO?

Unaongelea hisia?

Unaongelea ndoto uotazo?

Pamoja na kuambiwa DUNIA ni Kijiji ila kukariri kila jambo ndiko kunakofanya BAADHI YA NCHI ziitwe za "nyuma" undemocratic etcetera....ni ulevi tu wa fikra ILLUSION.

#SiempreJMT
 
Back
Top Bottom