Maajabu ya timu za Zanzibar zinazoshiriki mashindano ya kimataifa

BRN

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2013
Posts
5,188
Reaction score
6,633
Zanzibar ina timu za mpira wa miguu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa ya Shirikisho la Mpira Afrika(CAF),yaani Shirikisho na Klabu Bingwa.

Pamoja na kuwa na uwanja wa Amani ambao umetumia gharama kubwa kuukarabati,timu za JKU na Uhamiaji zinacheza mechi zao za nyumbani ugenini.

Soma Pia:
Hili likoje? Kwa Vital O sawa..ila Hawa!

Je hawaoni kiuchumi pia hili haliko sawa.
 
Zina hali mbaya kiuchumi sawa. Ila kuna jambo haliko sawa. Kwanini mechi ya kwanza wasicheze nyumbani wakati nauli ya kwenda Misri na kupiga kambi huko wanayo? Au kuna biashara nje ya football?

Uwanja wa amani upo, nauli ya kwenda Misri ipo na fedha ya kughalamia kambi Misri ipo. Shida iko wapi kuchezea kule mechi zote?
 
Wamezoea kuuzauza ndio maana wakipewa uongozi wanaweza kuuza rasilimali za nchi, Wacha watolewe..
 
Wameshazoea tabia ya ukupe. Kila sehemu wanataka tu mterekemko.

Halafu sioni mantiki ya wao kushiriki kivyao kwenye hayo mashindano, na pia kuwa na ligi yao; huku tukiaminishwa eti Tanganyika na hao kupe, tunaunganishwa na nchi moja inayoitwa Tanzania!!
 
Zanzibar ina timu za mpira wa miguu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa ya Shirikisho la Mpira Afrika(CAF),yaani Shirikisho na Klabu Bingwa.

Pamoja na kuwa na uwanja wa Amani ambao umetumia gharama kubwa kuukarabati,timu za JKU na Uhamiaji zinacheza mechi zao za nyumbani ugenini.

Hili likoje? Kwa Vital O sawa..ila Hawa!!

Je hawaoni kiuchumi pia hili haliko sawa.
Unataka wachezee nyumbani watauzaje mechi sasa.
 
Zina hali mbaya kiuchumi sawa. Ila kuna jambo haliko sawa. Kwanini mechi ya kwanza wasicheze nyumbani wakati nauli ya kwenda Misri na kupiga kambi huko wanayo? Au kuna biashara nje ya football?

Uwanja wa amani upo, nauli ya kwenda Misri ipo na fedha ya kughalamia kambi Misri ipo. Shida iko wapi kuchezea kule mechi zote?
JKU imelipiwa kila kitu na timu pinzani kwa sharti mechi zote zipigwe misri.
 
Duh unaenda omba bakuli ya jirani wakati ww unayo
 
Zina hali mbaya kiuchumi sawa. Ila kuna jambo haliko sawa. Kwanini mechi ya kwanza wasicheze nyumbani wakati nauli ya kwenda Misri na kupiga kambi huko wanayo? Au kuna biashara nje ya football?

Uwanja wa amani upo, nauli ya kwenda Misri ipo na fedha ya kughalamia kambi Misri ipo. Shida iko wapi kuchezea kule mechi zote?

Mkuu huo uwanja wa Amani una faida gani ikiwa hata washabiki hauna? Zanzibar hata viwanja huwa vinakuwa vitupu. huko Misri mechi yao ya Home uwanja utajaa na watapa mgao mzuri tu wa hela.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Kuna kitu kinanipa wasiwasi sana kutokana na baadhi ya sifa za hawa wenzetu tunaowaita " Ndugu zetu wa damu"
 
Mkuu huo uwanja wa Amani una faida gani ikiwa hata washabiki hauna? Zanzibar hata viwanja huwa vinakuwa vitupu. huko Misri mechi yao ya Home uwanja utajaa na watapa mgao mzuri tu wa hela.
Hoteli zingepata pesa.
 
Back
Top Bottom