Maajabu ya timu za Zanzibar zinazoshiriki mashindano ya kimataifa

Maajabu ya timu za Zanzibar zinazoshiriki mashindano ya kimataifa

Zina hali mbaya kiuchumi sawa. Ila kuna jambo haliko sawa. Kwanini mechi ya kwanza wasicheze nyumbani wakati nauli ya kwenda Misri na kupiga kambi huko wanayo? Au kuna biashara nje ya football?

Uwanja wa amani upo, nauli ya kwenda Misri ipo na fedha ya kughalamia kambi Misri ipo. Shida iko wapi kuchezea kule mechi zote?

Wameona raha kufungwa na rangi ya mtume..chezea kina hammiii wewe
 
Wazanzibar wanapenda mshuko sana ndiomaana wanapelekeana kwa mparange
 
Back
Top Bottom