Maajabu ya uboho wa binaadamu

Maajabu ya uboho wa binaadamu

salum mabura

Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
67
Reaction score
5
Wanasayansi wamewatibu UKIMWI Watu wawili kwa kuwapandikizia uboho wa binaadamu unaojulikana kitaalamu kama (BONE MARROW)!
source:bbc swahili.
 
^^
Yasiwe ya Babu Loliondo wa kisayansi.
^^
 
Tusio na "h" kwenye matamshi yetu full utata.
 
nimekuja mbioooooooo
nilifikiri typing error ulimaanisha ,,,,,,,,,,
kumbe
daaaaa
 
Wanasayansi wamewatibu UKIMWI Watu wawili kwa kuwapandikizia uboho wa binaadamu unaojulikana kitaalamu kama (BONE MARROW)!
source:bbc swahili.

Madaktari wamesema ni.mapema sana kulithibitisha hilo.....
 
Nilifikiria sana juu ya kichwa cha habari km kiwe DAWA YA UKIMWI, au hicho nilichoandika!
 
Back
Top Bottom