Maajabu ya uboho wa binaadamu

Maajabu ya uboho wa binaadamu

Atajitokeza babu mwengine atoe ''uboho'' wa ng'ombe. Na atauza tu
 
'UBOHO' ndo nini?

Kwa jina jingine unakulikana kama msonto....

bone_marrow.gif
 
Ebu mwenye picha ya huo "Uboho" atuwekee tafadhali nihakikishe kama ninachokifikiri ndicho ama sicho.
 
UBOHO IS the flexible tissue found in the
interior of bones. In humans, bone
marrow in large bones produces
new blood cells.
 
Jamani! mnanifanya niogope! watu hamdanganyiki mnagoogle faster! kweli huku ni forum of great thinker!
Lkn leo sijamuona Lady doctor akichangia mada yng!
sijui hajaipenda!
 
Back
Top Bottom