King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
So what?najua uliomba na ukapgwa chini!
ndio chuo kilicholifikisha taifa hapa lilipo.mafisadi wote ni product ya udsm.wahujumu uchumi ni product ya udsm hata maprofessor wenye tamaa ya uongozi wengi ni wa udsm
hata walimu wanaofundisha vyuo vingine wengi wametoka UDSM. Je hawajakufundisha ufisadi bwa' mdogo.
ndio chuo kilicholifikisha taifa hapa lilipo.mafisadi wote ni product ya udsm.wahujumu uchumi ni product ya udsm hata maprofessor wenye tamaa ya uongozi wengi ni wa udsm
Tundu Lissu,Halima Mdee,John Mnyika ni product ya wapi vile?
interview kwani walitangaza kazi? Pale huwa wanaenda watu toka sitimbi ambao jiji wamezoea kuliona kwa tv tu
Naunga mkono hoja, mfano mdogo angalia mhitimu yeyote aliyetoka hapo UDSM akianza kazi tu anataka amiliki gari, nyumba katika muda mfupi sana kiasi kwamba huwa najiuliza ndivyo walivyofundishwa huko chuoni. Hao wakifika makazini kitu cha kwanza ni kutafuta mitandao ya kifisadi, wale wenzao wanoongeza 000 na 10% kwenye manunuzi ya umma na mashirika. Kama mnabisha fanyeni uchunguzi. Tena cha kushangaza wengi waliohitimu hapo wanajisikia ndio wamesoma chuo bora kiasi hata mimi binafsi naogopa kujitambulisha kama nilisoma hapo kabla sijasepa kuja ughaibuni.
inaonyesha hatujui tatizo la nchi yetu liko wapi udsm haihusiki hata kidogo
tatizo ni tumeunda uongozi wa nchi kwa kuweka mihimili mitatu ya uongozi.
bila kujua au kwa kujua tukaiua mihimili miwili ambayo ni bunge na mahakama kwa kuifanya kama taasisi ndani ya mhimili mmoja ambao ni serikali.
serikali ikawa inafanya kazi bila kusimamiwa.
ukiwa na duka ukamweka mfanyakazi bila kumkagua na akikosea bila kumuwajibisha duka ataligeuza lake
hatua ya kwanza ni kufanya mahakama ijitegemee wachaguane wao kwa wao, bunge liwe ndicho chombo kikuu cha maamuzi chenye rungu la kusimamia na kushauri serikali uozo mwingi utapungua kwani mihimili hii imewekwa ili kusimamiana ila ikishirikiana utendaji wanaoutegemea wananchi hauwezi kuwepo
mnyika mzee wa matamko yasiyo na tija,kijana anayetafuta sifa wakati jimboni kwake mambo hovyo nayeye pia amesoma pale
Pole kwa kudisco...ndio chuo kilicholifikisha taifa hapa lilipo.mafisadi wote ni product ya udsm.wahujumu uchumi ni product ya udsm hata maprofessor wenye tamaa ya uongozi wengi ni wa udsm
waende wakaongeze idadi