Hayawezi kunichoma hata kidogo kama Shule nimesoma vizuri na sina uwezo mdogo wa kuchambua mambo kama wa kwenu mnaoweka generalization hata kwenye mambo yaliyowazi kama hayaNatumaini maneno yako makali kama moto yamemchoma vilivyo !!>
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayawezi kunichoma hata kidogo kama Shule nimesoma vizuri na sina uwezo mdogo wa kuchambua mambo kama wa kwenu mnaoweka generalization hata kwenye mambo yaliyowazi kama hayaNatumaini maneno yako makali kama moto yamemchoma vilivyo !!>
safi sana...ila kumbe unajua kuna programs hazipo ud ila kwingine zipo?? sasa mbo unasema kama mtu ana uwezo mdogo hapati chance ud?? je kama nna 1.3 utasema niende ud akai nitakacho hakipo hapo?? mkuu sina wakati mchafu na wa kuchezea kubishana na wewe..ila point ni..kuwa makin sana uandikapo kitu maana utajikuta unawakwaza wengine bila kujua!! alafu mtu mwenye(wa form six) mwenye akili timamu na mtu(wa masters) asiye na busara ni nani bora??FIKIRI KABLA HUJAANDIKA KITU..hii ni kwa manufaa ya wengine pia..think about it bro!!!Sasa Architect na kilimo si zinatolewa SUA na ARU ambazo mpaka juzi zilikuwa zehemu ya UDSM. Ukisema unanishangaa kama hata nina Diploma na mimi nakushangaa wewe kama hata una Form Six tu hata ya Division 4. Kilichonifanya nifikie kwenye conclusion hiyo ni mfululizo wa comments za Mtoa mada...Hivi na wewe unaamini kwamba kazi ya UDSMni kutoa mafisadi tu basi? Kama ndivyo basi nchi hii tuna safari ndefu sana ya kujikomboa. Kama sina diploma inakusaidia nini wewe? Kama ninayo pia inakuongezea nini?
Hayawezi kunichoma hata kidogo kama Shule nimesoma vizuri na sina uwezo mdogo wa kuchambua mambo kama wa kwenu mnaoweka generalization hata kwenye mambo yaliyowazi kama haya
hizi ndo point tunataka sio ushabiki!!!Kwanza pole kwa mtazamo wako wakihafidhina, UDSM kunatolewa elimu ya hali ya juu sana, sisi kama product ndo tulio na matatizo mfano ukifundishwa karate au judo unaambiwa ukimpiga mtu sehemu fulani fulani ni hatari anaweza kupoteza uhai, maana yangu nini, hata UDSM elimu yake unapata kwa pande zote,wewe mwenyewe ndo uzalendo wako utakusuta unapofanya sivyo. Vichwa kama Lissu, Mnyika, Slaa, Magufuli, Mwakyembe, Sitta, Migiro, Warioba na wengine unadhani watakatifu wanaweza kutoa watu kama hao? tatizo si mkufunzi wa judo au karate au UDSM ni wewe mwenyewe! mfano mwingine Mrusi alietengeneza bunduki aina ya AK-47 mpaka leo analalamika si kwa sababu ya ubongo wake kutengeneza bunduki hile bali matumizi mabovu ya bunduki yake, ndivyo UDSM inavyolalama kuhusu vijisenti vya Uswis, South Africa, RADA, SONGAS na mengineo na kwingineko. Funguka kaka, fanya wajibu wako!
Aiseee!!!! Pole sana kwa kutokwa na povu bila sababu. Umedandai hoja ya watu halafu inakupandisha presha.safi sana...ila kumbe unajua kuna programs hazipo ud ila kwingine zipo?? sasa mbo unasema kama mtu ana uwezo mdogo hapati chance ud?? je kama nna 1.3 utasema niende ud akai nitakacho hakipo hapo?? mkuu sina wakati mchafu na wa kuchezea kubishana na wewe..ila point ni..kuwa makin sana uandikapo kitu maana utajikuta unawakwaza wengine bila kujua!! alafu mtu mwenye(wa form six) mwenye akili timamu na mtu(wa masters) asiye na busara ni nani bora??FIKIRI KABLA HUJAANDIKA KITU..hii ni kwa manufaa ya wengine pia..think about it bro!!!
Hii ni kwa wale wanaoamini kwamba moyo unaweza kujisikia. Ungeniuliza kchwani najisikiaje ningekujibunadhan kiongeacho ni mdomo...ila moyoni unajiskiaje???
Hii ni kwa wale wanaoamini kwamba moyo unaweza kujisikia. Ungeniuliza kchwani najisikiaje ningekujibu
Nilikuwa sijajua kumbe nabishana na Form Six Leaver? Lol!!! Karibu SUA basihaahhahhahahahahhahaha.....we ni msomi..kiri umekose(japo hulazimishwi)!!!
nilikuwa sijajua kumbe nabishana na form six leaver? Lol!!! Karibu sua basi
Umechaguliwa lakini? Nilitaka kujua kwanini uwezo wako uko chini kiasi hiki kumbe una cheti kimoja tu, Cha Form Four!!! na Result Slip ya Form Six?ukubwa na hekima ni vitu viwil tofauti!!!
Umechaguliwa lakini? Nilitaka kujua kwanini uwezo wako uko chini kiasi hiki kumbe una cheti kimoja tu, Cha Form Four!!! na Result Slip ya Form Six?
ndio chuo kilicholifikisha taifa hapa lilipo.mafisadi wote ni product ya udsm.wahujumu uchumi ni product ya udsm hata maprofessor wenye tamaa ya uongozi wengi ni wa udsm
kwa suala lililokuwa kwenye discussion Form Six leaver kuna udhu wa kujadili uhusika wa UDSM katika kuzalisha mafisadi na ukaishia kukebehi watu kuwa una 1.3 wakati hata shule yenyewe unategemea huruma ya Board. The difference is wakati wewe unafuatilia kama umechaguliwa Undergradruate mimi nafuatilia kama nimechaguliwa kujiunga Phd. Kichuguu na Mlima!!!!@LORDVILLEukubwa na hekima(au uwezo wa kiakili) ni vitu viwili TOFAUTI!!
kwa suala lililokuwa kwenye discussion Form Six leaver kuna udhu wa kujadili uhusika wa UDSM katika kuzalisha mafisadi na ukaishia kukebehi watu kuwa una 1.3 wakati hata shule yenyewe unategemea huruma ya Board. The difference is wakati wewe unafuatilia kama umechaguliwa Undergradruate mimi nafuatilia kama nimechaguliwa kujiunga Phd. Kichuguu na Mlima!!!!@LORDVILLE
Masterz nayo ni degree ebo! Siku nyingine sema Shahada ya kwanza. Unajuaje kwamba haijanisaidia? Unataka mpaka uone nakufundisha darasani ndio ujue kuwa imenisaidia? Haya Profesa hebu niambie kazi ya UDSM ni kuzalisha mafisadi tu na sio zaidi ya hiyo? Hivyo vyuo vingine havijazalisha mafisadi? Kama una kiwango cha kubishana na mimi nijibu hayo maswali vinginevyo hapa kuna hadithi ya anayeoga mtoni akaibiwa nguo na kichaa akaamua kumfukuza akiwa bila nguo au vipi mdogo wangu?je wewe unadhan mpaka kufikia level ya masters then unataka PhD KWA KIWANGO ULICHONACHO hasa kwenye kutafakari mambo unanastahili kwenda phd?? je unadhan phd itakua na faida gan kwako akat hata masters au degree haijakusaidia mpaka sasa??
UKUBWA WA UMBO NI TOFAUTI KABISA NA UKUBWA(UWEZO) WA AKILI!!