maajabu ya udsm


pole kwa kudisco!
 
Tufanyeje sasa?cum up wth a solution sababu c o udsm peke yake huko 2endako watatoka mpaka chuo cha sanaa b.moyo
 
sijafikiria na hata watoto wangu hawatakuja soma kwa chuo kama hicho weye

WEWE ULIFELI FORM SIX, HUNA SIFA ZA KUINGIA UDSM. UDSM IS THE BRAIN SOURCE OF EAST AFRICA NA DUNIA, ULIZA WALTER RODNEY ALIKUWA WAPI, KINA marehemu prof. CHACHAGE, vichwa kama vya LEARNED PROFESSOR Luoga utampata wapi kama si UDSM? NENDA NA HICHO KICHETI CHAKO CHA THE ZOOM COLLEGE HATA UGANDA TU WATAKUPA MI TEST kibao KWA KUTOAMINI BRAIN YAKO! nGONJA NIKUPE STORY KIDOGO MAANA NAJUA HUJUI NA UNAITAJI KUJUA, MHE. Warioba aliwahi kuitwa Docta akiwa kwenye UJudge wake huko nje, akawaambia ooh no I DON'T HAVE EVEN A MASTERS DEGREE, ALL I HAVE is A SINGLE DEGREE FROM the UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM. HUSIPO TAMANI KUSOMEA UDSM WEWE NI ..................INSANE! ...............
 
Reactions: SG8
ndio chuo kilicholifikisha taifa hapa lilipo.mafisadi wote ni product ya udsm.wahujumu uchumi ni product ya udsm hata maprofessor wenye tamaa ya uongozi wengi ni wa udsm

Kwanza pole kwa mtazamo wako wakihafidhina, UDSM kunatolewa elimu ya hali ya juu sana, sisi kama product ndo tulio na matatizo mfano ukifundishwa karate au judo unaambiwa ukimpiga mtu sehemu fulani fulani ni hatari anaweza kupoteza uhai, maana yangu nini, hata UDSM elimu yake unapata kwa pande zote,wewe mwenyewe ndo uzalendo wako utakusuta unapofanya sivyo. Vichwa kama Lissu, Mnyika, Slaa, Magufuli, Mwakyembe, Sitta, Migiro, Warioba na wengine unadhani watakatifu wanaweza kutoa watu kama hao? tatizo si mkufunzi wa judo au karate au UDSM ni wewe mwenyewe! mfano mwingine Mrusi alietengeneza bunduki aina ya AK-47 mpaka leo analalamika si kwa sababu ya ubongo wake kutengeneza bunduki hile bali matumizi mabovu ya bunduki yake, ndivyo UDSM inavyolalama kuhusu vijisenti vya Uswis, South Africa, RADA, SONGAS na mengineo na kwingineko. Funguka kaka, fanya wajibu wako!
 
ndio chuo cha maana kilichopo tz toka enzi,ufisadi ni tabia ya mtu siyo chuo njomba.
 
mwakyembe kabla hajaingiwa na tamaa ya kuwa mwanasiasa alikuwa lecturer wapi vile?

Mwakyembe aliingia ktka siasa kwenda kuitetea nchi na si tamaa. waona jinsi anavyochapa kazi na comrade Pombe?
 
ha haaa haaa leo nimecheka sana, mtoa mada amnichekesha kwelikweli mpaka "nikalike" maana nimecheka sana. mie sijasoma UD wala sioni kama nimepungukiwa kitu, mtu akipiga Bachelors, Masters au PhD pale nayo naona ni pouwa tu since chuo ni kikongwe so experience yake obviously ni kubwa. sasa mheshimiwa mtoa mada uko so subjective, hata unapojaribu kuconvince watu kuwa hukusoma Tz haisaidii. kusoma nje au ndani ya nchi hakudetermine smartness ya mtu upstairs (sanasana nje ni exposure). kama walivyosema wadau wengine, chuo hakitengenezi tabia ya mtu, hiyo ina roots za mbali zaidi

ur subjectivity to the matter inakushushia heshima hata kama ulisomea Harvard... :nerd:
 
Reactions: SG8
Acha mambo ya ajabu wewe tabia ya mtu mmoja sio ya wanaudsm wote tutaoneana tuuuuuuuuuuuu
 
interview kwani walitangaza kazi? Pale huwa wanaenda watu toka sitimbi ambao jiji wamezoea kuliona kwa tv tu

Sikia kaka kama ni form six leaver nakusamehe, ila kama ni zaidi ya hapo basi kichwa chako unatumia kufugia Nywele tu! Ubongo huutumii, kwanza sidhani kama unawafahamu vizuri watu kama kina lweitama, baregu, mkumbo, Ngwale, kayoka, Mhina hao ni kwa uchache! Ukiwajua vizuri hao watu ndo utuletee vithread uchwara, kwani babako amelifanyia nini hili taifa? ***** we!
 
umesahau wakina Tundu lisu na zitto wamesoma udsm.
 
Udsm kilkua Hakifundishi maadili katika kila course wanayoitoa, example "Good faith and professional ethics"
 
sijafikiria na hata watoto wangu hawatakuja soma kwa chuo kama hicho weye
You must be kidding.Siamini kama akili yako ndio imeishia hapo Brother. Hakuna mtu mwema hata mmoja aliyesoma UDSM? Watu kama Professa Chachage, Issa Shivji,Haroub Othman, Chris Maina Peter, Joseph Sinde warioba, Jenerali Ulimwengu, Lwaitama na wengine wazuri tu ni product ya Udsm. Kumaliza utata hebu tuambie Chuo kipi ni bora ili wenye data tukwambie nani walisoma huko? Brother umeonyesha upeo mdog sana wa kufikiri katika hili. Unatarajia mtu aliyezaliwa fisadi akabadilike akiwa Udsm? Labda kosa la Udsm ni kuwa Chuo cha kwanza na pekee hapa nchini kwa miaka karibu 40 iliyopita na hivyo kulazimisha kila mtu asome hapo na wale wenye uwezo mdogo kama wewe kukosa nafasi hapo kingxvi
 
Last edited by a moderator:
product za ud matatizo lazima angalia tundu lissu.mambo anayoyafanya jimbon kwake.mpaka harakati za maendeleo zinakwama kisa sifa zake.haya huyo mdee mpaka sasa hata kuolewa bado,huyu mnyika mzee wa matamko ntamzungumzia baadaye
Haki ya punda hicho Chuo ulichosoma hasara tupu. Au umesoma University of Khartoum? Kwanza umepeleka vyeti vyako TCU wewe?
 
 

umeona hapo kwenye red...sasa kama nna div 1.3 na nataka kuwa mwana kilimo au architect utasema nikasome ud?? mtu kusoma ud si kwamba ana uwezo na mtu kutosoma ud si kwamba hana uwezo!!! naiman hapo(red) hata wewe umeonyesha uwezo mdogo sana katika kufikiri na kuchambua mada!! na utanishangaza sana kama una hata diploma akat uwezo wako still uko down..fikiri kaka tunataka mawazo yakinifu hasa kwa wasom kama wewe na wengineo na sio ushabiki wa kijinga...
 

Natumaini maneno yako makali kama moto yamemchoma vilivyo !!
<<< Ze duduz >>>
 
Sasa Architect na kilimo si zinatolewa SUA na ARU ambazo mpaka juzi zilikuwa zehemu ya UDSM. Ukisema unanishangaa kama hata nina Diploma na mimi nakushangaa wewe kama hata una Form Six tu hata ya Division 4. Kilichonifanya nifikie kwenye conclusion hiyo ni mfululizo wa comments za Mtoa mada...Hivi na wewe unaamini kwamba kazi ya UDSMni kutoa mafisadi tu basi? Kama ndivyo basi nchi hii tuna safari ndefu sana ya kujikomboa. Kama sina diploma inakusaidia nini wewe? Kama ninayo pia inakuongezea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…