Angyelile99
Member
- Oct 9, 2023
- 89
- 164
Jambo la kwanza: ni Tanzania pakee. utakuta mtu kwenye jina la profile ya akaunti yake ya mitandao ya kijamii. anaweka na neno PhD ama Professor ili tu kujitambulisha kwa watu kua ana taaluma ya namna hiyo. Ila tukirudi kwenye ufanisi wa kiutendaji kwenye nafasi aliyopo ni ziro kabisa.
La pili ni watu kuto tumia majina yao na picha zao harisi kwenye mitandao ya kijamii. jambo linalo perekea ugumu haswa anapo kua anatafufwa na aidha ndugu ama jamaa walie potezana kwa muda.
Embu tubadilike basi tunapo hitaji kutambuliwa na watu kwa kupitia majina yatumikayo mitandaoni