kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,742
Hata hayuko mbali maana inasemekana yuko kila mahali. Yuko pia ndani mwako.Jua liko umbali wa km Milioni 150 kutoka duniani!
Kama ni kuendesha gari kwa mwendo wa 160kph, SAA 24 kwa siku, itachukua zaidi ya miaka 100 kufika kwenye jua!
Jua ni kubwa sana hivi kwamba zaidi ya dunia 1,300,000 zinaweza kutoshea ndani yake!!!
SWALI: Huyo aliyeliumba yuko km ngapi kutoka duniani? Ana nguvu na uwezo kadiri gani?
Na bado kuna watu eti hawaamini uwepo wa Mungu. Mungu anajidhihirisha kwa maajabu yanaoonekana na yasiooneka,na huo ndio ukuu wake.And that is just a one star, there are more than billion stars in milky way galaxy only nyingine ni kubwa mara 100 zaidi ya jua, hapo haujaangalia galaxies zingine
Sent from my SM-J415F using JamiiForums mobile app
Hizi sayansi ni shida sana! Kwa maana kama ukiliwasha litochi likuubwa linaloweza kupeleka mwanga mbaali kwa maelfu ya miaka ghafla likaharibika (likafa) siku nyingi tu.Na kwa kuongezea ni kuwa nyota nyingi tunazoziona angani kiuhalisia zinakuwa zimeshakufa ila mwanga wake umefika duniani kwa mda huo unaoziangalia.kwa maana kuwa mwanga wa nyota fulani fulani unafika hapa duniani kwa maelfu na malaki ya miaka ila sisi ndo tunaona kama ni tukio la sasa hivi wakati ukweli sio huo.zipo mbali mno
Hizi sayansi ni shida sana! Kwa maana kama ukiliwasha litochi likuubwa linaloweza kupeleka mwanga mbaali kwa maelfu ya miaka ghafla likaharibika (likafa) siku nyingi tu.
Ule mwanga wake utaendelea kuonekana?
... hakai ndani ya kila mtu; your willingness to invite him determines whether he shall be in you or not; it is up to you to decide. Hata Putin akiamua leo, atakaa kwake na kumfanya kiumbe kipya.Hata hayuko mbali maana inasemekana yuko kila mahali. Yuko pia ndani mwako.
Unaweza kunipa nukuu ya hiki ulichoandika... hakai ndani ya kila mtu; your willingness to invite him determines whether he shall be in you or not; it is up to you to decide. Hata Putin akiamua leo, atakaa kwake na kumfanya kiumbe kipya.
Inasisimua kwa kweli!!Okey najaribu kukujibu ila wajuvi wataongezea.iko hivi kikawaida mwanga huwa unasafiri kutoka point moja kwenda point nyingine.hata huo wa tochi unaouona huwa pia unasafiri.spidi ya mwanga ni kubwa hakuna mfanowe.mpaka sasa wanasayansi wamekaribia kukata tamaa kutafuta kitu kinachosafiri kuzidi spidi ya mwanga.lakin mbali na spidi yake bado kwa kuonesha ukuu wa Muumbaji wetu space nayo kaipa ukubwa wa eneo lisilopimika kwa akili zetu za kufikirika kiasi kwamba kama practically itatokea ukawa kwenye space na ukawasha huo mwanga wa litochi kama ulivotoa mfano wako bas utaweza kabisa(ukipewa huo uwezo)kuona huo mwanga ukisafiri kias kwamba hata hilo litochi likizima mwanga unaendelea na safari vizuri tu.ushasikia kitu kunaitwa light year mkuu?? Yaani kwa maneno rahisi mwanga unasafiri kutoka point moja hadi point nyingine kwa mwaka mzima kwa spidi yake hyo hyo na bado huwez kuona kwa macho ya kawaida kama mwanga umesafiri kwa kuwa kwanza wewe ni binadamu ambaye limit yako ya kuona ni ndogo mno..ukisimama baharini tu unaona mpaka mwisho wa sehemu mawingu yanakutaka na maji.sasa umbali huo ni kama kipunje cha umbali wa dunia na kumbuka dunia ni sehemu ndogo mno ya universe na milky way galaxcy.
... unataka rejea kwa mambo yaliyo wazi? Ni sawa na kutaka reference kwamba Jua (the Sun) linaanzia Mashariki.Unaweza kunipa nukuu ya hiki ulichoandika
Unakumbuka Yesu pale msalabani alimwambia yule mwizi usku wa leo atakuwa naye wapi?... unataka rejea kwa mambo yaliyo wazi? Ni sawa na kutaka reference kwamba Jua (the Sun) linaanzia Mashariki.
Inasisimua kwa kweli!!
Lakini kwa nini binadamu ni wakaidi kiadi hicho?
Pia kwa kutoa move kali.Napenda kumshukuru Raisi wetu Samia S Hassani kwa kupandisha nauli za usafiri..tunashukuri sana mama unaupiga mwingi[emoji12][emoji108]