kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,742
Jua liko umbali wa km Milioni 150 kutoka duniani!
Kama ni kuendesha gari kwa mwendo wa 160kph, SAA 24 kwa siku, itachukua zaidi ya miaka 100 kufika kwenye jua!
Jua ni kubwa sana hivi kwamba zaidi ya dunia 1,300,000 zinaweza kutoshea ndani yake!!!
SWALI: Huyo aliyeliumba yuko km ngapi kutoka duniani?
Ana nguvu na uwezo kadiri gani?