Maajabu ya vumbi la Kongo linavyoleta heshima kwa mpenzio

kumbe chanzo cha wanaume kupungukiwa nguvu za kiume ni wanawake kuchelewa kufika kileleni, mi nilijua ni punyeto, uzinifu uliopitiliza na matatizo mengineyo?
 
kumbe chanzo cha wanaume kupungukiwa nguvu za kiume ni wanawake kuchelewa kufika kileleni, mi nilijua ni punyeto, uzinifu uliopitiliza na matatizo mengineyo?
mkuu hawa viumbe wamekua wagumu sana kufika huko kileleni sijui kwa nn
 
Duuu nilishaliapply enzi hizo hata kabla halijawa maarufu.. Nilijuta.. Goli moja masaa mawili.. Sina hamu nalo tena hilo.. Unapiga nyama mpaka inakua mateso sasa
Hahahhhh polee aisee
 
na hakuna mwanamke duniani anae penda mwanaume anayewahi kufika kileleni
Mkuu, kuwahi kufika kileleni ni function ya AKILI (BRAIN) na MOOD sometimes. Moreover, PRACTICE makes PERFECT. Sex ni muunganiko wa mambo mengi, "Sex is an ART", also, ukimpenda mpenzi wako kwa dhati lazima utamfurahisha tu (naye atakufurahisha pia). Hizo stori za vijiweni usizipe sana kipaumbele....AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO!
 
mkuu hii dunia ina mengi sana piga story na watu ujue mengi Kuna wenzio wakiona papuchi tuu akiingiza tu mb.... hata hajaanza kashakojoa sasa mkuu ni mwanamke gan anaridhika kwa hiyo Hali ebu tuwe wa kwel ww kama mzima shukuru mungu watu wana matatizo mkuu
 
mkuu acha tuu kina dada wanalia sana Kuna walioko ndani ya ndoa wameolewa wao wanasikiaga Kuna kukojoleshwa tuu hawajawahi kukojoleshwa wao ni kuzaa tuu acha watu wapate dawa za kienyeji hizi viagra ndiyo zina madhara but dawa za kienyeji hazina madhara
 
mkuu kwa izi chips za mafuta ya trassfoma na vyakula vya kusindika kwa kweli Dar Kuna mwanaume rijali kweli?
halafu hz tabia za kujifanya mnawadharau VIDUME vya Dar ni vya kinafki,kumbuka kabla ya JPM kutangaza kuhamia Dom, hakuna MTZ asiyetaka kukaa Dar. ie DAR ndio kulikua na VIdume vya kweli, ninyi wa mkoa ndio mnaotumia Vumbi? shame shame
 
Duuu nilishaliapply enzi hizo hata kabla halijawa maarufu.. Nilijuta.. Goli moja masaa mawili.. Sina hamu nalo tena hilo.. Unapiga nyama mpaka inakua mateso sasa
Hahahahaha duh sasa uyo mtoto was watu alikua kwenye hali gani... Masaa mawiliii
 
haaaaa daa aisee natamani nikuone sana maana mm ni muumini wa madem wembamba wewe unafaa kupakaliwa vumbi
 
Bado vijana wako nyuma sana kwenye hii sanaa ya mapenzi.....na kwa kuwa bado wako nyuma.....ndio wanazidi kupotea kwa kuwa wanayafanyia kazi kila kitu wanachokisikia au kukiona kwa lengo tu la kumridhisha mwanamke.........

Kiuhalisia hakuna kitu kirahisi kama kumridhisha mwanamke.....lakini pia urahisi huo unatokana na utayari wa yule anayetakiwa kuridhishwa..........

Nasema ni kitu rahisi kwa kuwa mapenzi ni tendo la watu wawili na sio la mtu mmoja kwa hiyo ushirikiano wenu katika kulitenda hilo ndiko kunakoleta matokeo bora zaidi.........

Kinachokosekana kwenye mapenzi ya vijana wa nyakati ni kukosekana kwa uwazi kwenye mahusiano.......kila mtu anaufahamu mwili wake.....vyema kuliko mtu mwingine yeyote.....hivyo kuwekana wazi katika mambo muhimu ya huba kunafanya nyote mfurahie tendo......na sio kusuguana masaa mawili mpaka nyeti zinakufa ganzi....

Sanaa ya mapenzi haihitaji mikiki mikiki ya kusuguana masaa mawili bali ni matendo ya mahaba yasiyo zidi hata dakika kumi yanatosha kabisa kumfanya mpenzi ajihisi yupo dunia nyingine..........

Usiingie kwenye chumba cha mahaba na mpenzi wako kwa lengo la kumkomoa....bali muingie huko kwa lengo la kupeana raha.......

Ukishajua dhumuni la nyinyi la kuwa pamoja kama wapenzi....hautahitaji hata vumbi la kongo kumridhisha mpenzi.....bali utahitaji mazingira tulivu yaliyojaa huba kuweza kumridhisha mpenzi wako......
 
Ilo Vumbi la Congo unajipaka kwenye dushe au unalipika kama ugali?
 
mkuu kwa izi chips za mafuta ya trassfoma na vyakula vya kusindika kwa kweli Dar Kuna mwanaume rijali kweli?
Ha ha ha! Aya bhana. Waambie wateja wako wapime kwanza & uilete dawa yako pale TFDA ifanyiwe QA, QC & parameters zingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…