Maajabu ya vumbi la Kongo linavyoleta heshima kwa mpenzio

Matabibu wanahangaika kila kukicha kunusuru ndoa za walio wengi wanaume wanakesha kwenye vibanda vya supu ya pweza wanaume wamekaa wakikereka na msemo wa wanaume wa Dar, wanaume wamekua wakikesha kunywa dawa za kimasai yote haya ni kuwaridhisha hawa viumbe waliokua wagumu kufika kileleni yaani hawa viumbe wamekua wagumu sana kuridhika.

Kimapenzi hali inayochangia wanaume wengi kila kukicha kukosa raha ya ndoa na hii inapelekea kila ukipita mahali redioni watu wanajipigia hela kwa matangazo ya tunatibu nguvu za kiume ila suluhisho ya yote ni vumbi toka Kongo ambalo halina madhara na linatibu kabisa na hii humezi au kunywa bali ni kavumbi tu katone unapaka na mate kwenye kichwa cha asuman huku ukiendelea na shughuli zako kama kawaida ikaja ukaenda kupanda kunako kina hapo utapata kupewa stori zote hata kama aliwahi kutoka nje ya ndoa Bila kusahau utaingia kwenye nyavu ukiwa shujaaa kwa bao la kusisimua toka kwenye utosi hadi miguuni.

Kiukweli hii ni maajabu maana linatibu na hii si kwamba ukitumia usipofanya sex utaumia wapi hii ni mara dufu ya maajabu ya vumbi, jitahidi uonekane shujaaa kwa hawa viumbe wamekua wagumu sana kuridhika shuhulisho ni vumbi tu maana hamna namna tena kwa hawa viumbe.
How do i get vumbi la kongo
 
Tatizo kubwa haliko kwa wanaume bali wanawake!Tafuteni dawa ya kumkojoza mwanamke chap chap hata mara tano ndani ya dakika tano, tutakuwa tumemliza hii shida!Tunahangaika kutatua upande mgumu sijui kwa sababu ndio unahela??
 
Bado vijana wako nyuma sana kwenye hii sanaa ya mapenzi.....na kwa kuwa bado wako nyuma.....ndio wanazidi kupotea kwa kuwa wanayafanyia kazi kila kitu wanachokisikia au kukiona kwa lengo tu la kumridhisha mwanamke.........

Kiuhalisia hakuna kitu kirahisi kama kumridhisha mwanamke.....lakini pia urahisi huo unatokana na utayari wa yule anayetakiwa kuridhishwa..........

Nasema ni kitu rahisi kwa kuwa mapenzi ni tendo la watu wawili na sio la mtu mmoja kwa hiyo ushirikiano wenu katika kulitenda hilo ndiko kunakoleta matokeo bora zaidi.........

Kinachokosekana kwenye mapenzi ya vijana wa nyakati ni kukosekana kwa uwazi kwenye mahusiano.......kila mtu anaufahamu mwili wake.....vyema kuliko mtu mwingine yeyote.....hivyo kuwekana wazi katika mambo muhimu ya huba kunafanya nyote mfurahie tendo......na sio kusuguana masaa mawili mpaka nyeti zinakufa ganzi....

Sanaa ya mapenzi haihitaji mikiki mikiki ya kusuguana masaa mawili bali ni matendo ya mahaba yasiyo zidi hata dakika kumi yanatosha kabisa kumfanya mpenzi ajihisi yupo dunia nyingine..........

Usiingie kwenye chumba cha mahaba na mpenzi wako kwa lengo la kumkomoa....bali muingie huko kwa lengo la kupeana raha.......

Ukishajua dhumuni la nyinyi la kuwa pamoja kama wapenzi....hautahitaji hata vumbi la kongo kumridhisha mpenzi.....bali utahitaji mazingira tulivu yaliyojaa huba kuweza kumridhisha mpenzi wako......
Mmmh samahani, wewe si ndio chief senior bachelor nani nani sijui...haya mambo umeyajulia wapi?
Au nakuchanganya na mtu? Mkuu samahani kama nimekuchanganya na mtu mwingine, ambaye alishasema kwenye uzi mmoja hivi mambo ya mapenzi yeye hayataki, ila kama wewe vile.
 
Mimi ni chief senior bachelor....ninayelekea kwenye uField Marshall lakini sio padri......
 
Matabibu wanahangaika kila kukicha kunusuru ndoa za walio wengi wanaume wanakesha kwenye vibanda vya supu ya pweza wanaume wamekaa wakikereka na msemo wa wanaume wa Dar, wanaume wamekua wakikesha kunywa dawa za kimasai yote haya ni kuwaridhisha hawa viumbe waliokua wagumu kufika kileleni yaani hawa viumbe wamekua wagumu sana kuridhika.

Kimapenzi hali inayochangia wanaume wengi kila kukicha kukosa raha ya ndoa na hii inapelekea kila ukipita mahali redioni watu wanajipigia hela kwa matangazo ya tunatibu nguvu za kiume ila suluhisho ya yote ni vumbi toka Kongo ambalo halina madhara na linatibu kabisa na hii humezi au kunywa bali ni kavumbi tu katone unapaka na mate kwenye kichwa cha asuman huku ukiendelea na shughuli zako kama kawaida ikaja ukaenda kupanda kunako kina hapo utapata kupewa stori zote hata kama aliwahi kutoka nje ya ndoa Bila kusahau utaingia kwenye nyavu ukiwa shujaaa kwa bao la kusisimua toka kwenye utosi hadi miguuni.

Kiukweli hii ni maajabu maana linatibu na hii si kwamba ukitumia usipofanya sex utaumia wapi hii ni mara dufu ya maajabu ya vumbi, jitahidi uonekane shujaaa kwa hawa viumbe wamekua wagumu sana kuridhika shuhulisho ni vumbi tu maana hamna namna tena kwa hawa viumbe.
Acha kutimua vumbi
Uchafuzi wa mazingira.
 
wewe cheka hapo wewe ziongeze uone itavyokula kwako. siku hizi vijana badala wafanyie mapenzi Dyudyu wanafanyia vidole.
nitanunua kile kimashine kile unakiwasha tu unaweka na speed nayo taka ha aha haha
 
Back
Top Bottom