Maajabu ya vumbi la Kongo linavyoleta heshima kwa mpenzio

[/QUOTE]
unalitaka hilo vumbi?,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumridhisha mtu yahitaji kazi sana. achana na mapenzi tu kwa jambo lolote lile... mm nikishakiridhisha na yeye ajiridhishe anavyoweza....... mimi kupoteza masaa kibao eti mtu afike kileleni sina....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vumbi la Congo ni hatari na linaweza kukuua. Dawa ni kufanya mazoezi ili kurahisisha mzunguko wa damu, kula chakula vizuri (siyo chipsi yai), na matunda kwa wingi. Mfano Ndizi mbivu, parachichi, tikiti maji na pia tumia asali kila siku asbhi na jioni vijiko 2 vya chakula. matokeo yake utayaona mwenyewe.
 
Haya mavumbi sitaki kabisa asee. Niliwahi kutumia unapiga nyapu hadi mgongo unauma. Masaa mawili na zaidi bao moja si kutesana huko asee hadi nliachwa na mamanzi kisa shoo za annual
 
Tatizo wanawake wanachanganya mipini tofauti ndiyo inakuwa ngumu mno kuwaridhisha.
 
Tatizo kubwa haliko kwa wanaume bali wanawake!Tafuteni dawa ya kumkojoza mwanamke chap chap hata mara tano ndani ya dakika tano, tutakuwa tumemliza hii shida!Tunahangaika kutatua upande mgumu sijui kwa sababu ndio unahela??
Fact
 
Tatizo kubwa haliko kwa wanaume bali wanawake!Tafuteni dawa ya kumkojoza mwanamke chap chap hata mara tano ndani ya dakika tano, tutakuwa tumemliza hii shida!Tunahangaika kutatua upande mgumu sijui kwa sababu ndio unahela??
Nadhani wadada hawawezi kununua dawa za kukojoa mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…