Maajabu ya wanawake yaliyowashinda hata wana falsafa kuelewa

Real talk my G
 
Duh
 
Kuna mambo yanafurahisha sana...

Ati hawapendi utulivu kwamwe... Usipomchokonoa atakuchokonoa wewe...
 
Fact
 
😘😘
 
Hivi wewe nani anaweza kumwelewa mwanaume?
Unajua waandishi wengi walioandika vitabu hasa vya dini ni wa mfumo dume, sio nakosoa ila soma ukirlewa katika upana huo.
Mwanaume snaweza akmbaka mtoto wa miaka mitatu, mwanaume anaweza akaacha familia yake na watoto akahamia kwa hawara, mwanaume anaweza kumjaraa mtoto , aliyezaa na mtu na mtoto huyo akateseja muaka yote ba pengine akawa jambazi au kahaba, mwanaume.......

Nani haeleweki zaidi kati hawa wawili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…