Maajabu ya wanawake yaliyowashinda hata wana falsafa kuelewa

Maajabu ya wanawake yaliyowashinda hata wana falsafa kuelewa

Hahaha...mkuu afadhali wewe unawaelewa japo kiduchu.

Sijui wanapenda usichokuwa nacho...sijui labda wanajijua wenyewe.
 
Wanajamvi,
Hii nimeikuta ukutani kwangu nikaona kubwa ni busara kueleta hapa ingawa kwenye hili mimi sina upande ninaoshabikia .


'Wanawake ni binadamu wa ajabu sana katika uso huu wa Dunia yaani hawa watu ni next level, kuwaelewa ni ishu iliyowashinda hata wana falsafa, Newton na uwezo wake wote linapokuja suala la wanawake lazima atoke kapa na (ndio maana haieleweki hata kama akioa).

Manabii na busara zao zote walishindwa kuwaelewa wakaishia kushauri ya kwamba tuishi nao kwa akili. Sasa najiuliza ni jambo gani unaweza fanya bila kutumia akili?, hapa ndipo napata ushahidi kwamba kumbe wanawake
walishindikana tangu zama za mwanzo kabisa!. Wanasaikolojia wanasema kuwa kama utamuoa/ kuishi
na mwanamke mwenye miaka 25 basi itakuchukua miaka 25 mingine kumuelewa huyo mwanamke
angaalau kwa 90% maana hawa kila siku hubadilika na kuwa wapya kimatendo na kifikra.

Mwanamke unaweza mnunulia BMW X6 akatoka nayo kwenda kutembea, akiwa njiani akaombwa lift
na kijana akampa akipitia sheli hela ya mafuta ikawa haitoshi, yule kijana akaamua kumuongeza ata elfu 20 basi mwanamke. huweza kubadili mawazo na kumuona yule kijana ni bora kisa tu kachangia mafuta kuliko wewe uliyenunua

BMW X6, mfano akitoka hapo akapitia supermarket kununua bidhaa labda akapungukiwa kiasi mfano anadaiwa elfu 20, na yule kijana akasema hiyo ntalipa mimi basi basi hapo atasahau zile zawadi zote huwa unambebea na hiyo elfu 20 inaweza kumfanya awaze kumtunuku yule kijana penzi.

Mwanamke unaweza mpa hela akanunue nyama kilo 5 buchani, mwenye bucha akimuongeza robo tu hilo litamfurahisha kiasi kwamba anaweza kumpa mwenye bucha penzi na akusahau wewe ulieyota hela ya nyama kilo 5.

Mwanamke unaweza kumnunulia nguo, weaving, mafuta, perfume na urembo mzuri akavutia ila akipita mtaani akasifiwa na mwanaume kuwa kapendeza inaweza kuwa chanzo cha kumtunuku penzi na akakusahu wewe uliyegharamika na kufanya asifiwe!.

Mwanamke unaweza kumpa mimba na ukamhudumia mwanzo mwisho na familia ukalea kwa juhudi zako zote ila siku mkikosana anakwambia niache na watoto wangu, apo ashasahau kuwa wewe ndiye uliyempa mimba na kumlea yeye na watoto!.

Mchukue rafiki yako mwende bar, wewe uwe na laki 5 na yeye awe na elfu 30 kisha mkae meza moja na muagize unywaji, wewe agiza soda na yeye aagize bia. halafu baada ya nusu saa iteni warembo utaona wewe na laki 5 yako unapitwa tu ila yeye mwenye slfu 30 anaibuka kidedea kisa kaweza kumudu gharama ya bia, Hao ndio wanawake ndugu!

Mwanamke ndiye kiumbe pekee anayeweza kukupenda bila sababu ama kukuchukia bila sababu tofauti na viumbe wengine.

Mwanamke ndiye mwigizaji mkubwa ulimwenguni, anaweza kulia kwa furaha na akacheka kwa huzuni, bado hujawajua tu wanawake!

Mwanamke akisema ndio humaanisha hapana, na akisema hapana humaanisha ndio, pia anaweza kucheka bila kujua sababu lakini pia anaweza kulia pasipo sababu ya msingi ya kumfanya alie, hivyo chunga sana usijejichanganya!.

Mwanamke hupendi vutu vigumu na vyenye hatari mfano wanaume wenye nguvu, mlevi, muhuni (playboy), jambazi, mgomvi anayeogopwa hata na wanaume wenzie ila ukimuuliza anakuambia mie napenda kuwa na mwanaume mpole mwenye hofu ya Mungu tifauti na sisi wanaume tunavyopenda vitu vipole na vinyenyekevu na vyenye ukarimu, sasa wewe jifanye kumuamini mwanamke!

Jinsi unavyozidi kumpenda na kumthibutishia upendo wa dhati ndivyo unavyozidi kujiweka mbali nayeye, mwanamke hupenda migogoro isiyo na maana, ukijua hili ndoa haitokusumbua. Mwanamke hupendi utulivu kamwe!, usipomchokoa atakuchokoa tuu na usipomuendesha lazima akuendeshe yeye, Hawa viumbe hawana hiyana aisee!.

Mwanamke hupendi vitu vikubwa wala vidogo, kiufupi hana chaguo maalumu. Ukimnunulia gari sio garantii ya yeye kutulia nawewe bali anaweza kukusaliti hata na muosha gari wako. Ukimjengea nyumba nzuri na kumuwekea kila kitu sio njia ya kumteka kimahaba kwani anaweza kumtunuku penzi ata mtunza bustani wa nyumba yako.

Mwanamke hapendi ukweli, Ukimpa ukweli akija mwenye uongo basi we andika maumivu. Unaweza kuwa na elfu 50 ukamueleza ukweli kuwa "mke wangu leo hali mbaya chukua hii elfu 30,"... akatokea jamaa akamuongopea kuwa "Chukua hii elfu 15 ngoja nimesahau ATM card yangu nyumbani ikifuka saa 10 jioni ntakutumia laki 2 kwenye simu", Usishangae mkeo akakusaliti hata kabla ya hiyo saa 10 na iyo laki 2 asiione katu!.

Unamuoa hana ishu akiwa kwao amekaa tu, unaamua kumfungulia biashara hata ya duka unamjazia kila kitu. anatokea mshikaji mmoja kumuunga pale dukani kila siku na kumuachia soda tu na hicho kinakuwa kigezo tosha cha kuona mshikaji anamjali kwa kumuachia ya soda kila siku kuliko wewe uliyemfungulia duka zima na kinachofuata ni usaliti tu.

Yapo mengi mno kuliko hayo ila kwa leo naishia hapo. ukiweza shea kwenye groups zingine
Pole sana mkuu ... tuko pamoja
 
Tuliomegewa mademu zetu kimasihara huu uzi unatuhusu, i can feel the pain 😤. Nayakumbuka maneno ya mzee wangu,

"Mwanamke sio kiumbe wa kumchunga, mwanamke akiamua kukusaliti ana njia zaidi ya elfu kufanya hivo, mwanamke unaweza kwenda nae hata bar, kitendo cha kuinuka na kwenda msalani huo muda unamtosha kabisa kukuzunguka na kugawa utamu kwa mtu wake."
Kikubwa tuishi nao kwa akili, usije ukamuwekea guarantee kabisa, ishi maisha yako lakini jua yule ni kiumbe kama viumbe wengine chochote kinaweza kutokea kwa muda wowote.
 
Write your reply...mademu wanachanganya sana anamtaka boss,boss akimuoa baadae analiwa na masai anaemfungulia geti,noma sana
 
Halafu unaanika upumbavu wako hapa. Subiri nawewe karma is for real. Aidha watamgegeda wa kwako au utazaa watoto malaya.
Si mpaka ajue hata wewe unayejifanya mtakatifu wako anamegwa ila ni kuwa haujui tu.
 
Mengine mnatuonea tu jamni!...khaa!
Ila nna bahasha ya kaki ya A4 nilitumia gift na rafiki yangu ya vyupi had leo ni miaka karibu minne nnayo tu..ukiniuliza nimeitunza kwsbbu gn sina jibu🤣🤣!
Bas alinitumi chupi nzuriii😋😋😋! Moja shogangu akaipokonya🤣...nikaja meet naye akanionesh kaivaa nikaibebaa🤣🤣! Dah...nazivaa kwa nadra!..

Wanwake tunapenda vizawadi zawadi..ss mume/mpenzi ht kukununulia chupi tu shida...hata vipipi basi jaman😄!
Mnapewa VX lkn bado unamthamini aliyekupa mafuta ya 20,000
 
Nilishangaa kidogo nilivo soma title kuwa "wanawake ni viumbe wa ajabu" lakini nilivo zama ndani ndo nimeelewa na nakuamini.
#Usijaji kitabu kabla hauja kisoma ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maneno 'hupendi', 'hupenda', hapendi' kila yalipostahili kutumiwa, umeyatumia ndivyo sivyo katika uandishi wa thread yako na kuleta mkanganyiko mkubwa sana kwenye uelewa.

Hii imetokana na nini kukosea kona zote za uzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hujawahi kumega mademu za watu?
Tuliomegewa mademu zetu kimasihara huu uzi unatuhusu, i can feel the pain [emoji36]. Nayakumbuka maneno ya mzee wangu,

"Mwanamke sio kiumbe wa kumchunga, mwanamke akiamua kukusaliti ana njia zaidi ya elfu kufanya hivo, mwanamke unaweza kwenda nae hata bar, kitendo cha kuinuka na kwenda msalani huo muda unamtosha kabisa kukuzunguka na kugawa utamu kwa mtu wake."
Kikubwa tuishi nao kwa akili, usije ukamuwekea guarantee kabisa, ishi maisha yako lakini jua yule ni kiumbe kama viumbe wengine chochote kinaweza kutokea kwa muda wowote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom