Maajabu ya wanawake yaliyowashinda hata wana falsafa kuelewa

Maajabu ya wanawake yaliyowashinda hata wana falsafa kuelewa

Dini zote duniani zimewazungumzia hawa viumbe, Japo naona wanawake jamii ya Kiafrica wakifuatiwa na jamii ya kizungu ndio wenye matatizo duniani hapa. Wanawake wa kiafrika wamepotoka kwa kujaribu kuishi tamaduni za kizungu kwenye mazingira ambayo hazifanyi kazi.

Wanawake jamii ya kihindi, kichina, kiarabu naamini ndio pekee mpaka sasa wanajitambua na kujijua Mwanamke ni nani.
Wakichina wa zamani labda kabla ya Mao tse tung na wakati wa utawala weke. Lakini baada ya kukaribisha ubepari ni shida sana, muulize balozi wan ke
 
Ambacho mmekisahau ni kuwa binadamu ni Kama mnyama ila tofauti Ni kuwa anautashi wa akili, hivyo anaishi katika tashi mbili akili (itatunga sheria,mstakabali wa kuishi).

Unyama huu hufuata matamanio na hisia.. unachokiona ni matokeo ya kushindana Kati ya akili na unyama!!
Hivi vyote tunaishi navyo ukitaka kimoja kishinde basi kile kitakacho kuwa dominant ktk sifa hizo mbili ndio kitachoshinda!!

NB;WANAUME WOTE SISI NI WAAMINIFU [emoji12]
Binadamu sio kama mnyama, binadamu ni mnyama. Au ulisoma KLF?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha ajabu ni kwamba mwanamke huyo huyo ambaye baba ako hamuamini asilimia zote wewe unamuita MAMA na kumuamini 100%....
Hii imekua kama silaha ya wanawake wengi pindi ambapo m'mekua mkiambiwa ukweli

Ieleweke kwamba hata mama yangu naye ni mwanamke hivyo sioni sababu ya kutohusika na hili tatizo
 
Nimeamini aisee, wiki 2 zilizo pita nimegegeda mke wa mtu kwa sababu tu nilienda kumuona Hospital akaniona namjali sana wakati sikutoa hata mia yangu mbovu kuchangia matibabu yake, yote amegharamiwa na mume wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora we kumuona hospitali kuliko aliyemtunuku msela mwili wake kisa kusajiliwa line yake kwa kutumia namba ya nida ya mchizi
 
Back
Top Bottom