Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Binadamu wote tupo sawa.. Tukipata kitu na tukakizoea, tunakiona cha kawaida na kinachofuata ni tamaa za kuamini kuna kitu kizuri zaidi. wanawake sio exceptional ni binadamu na huwezi kuwaondolea ubinadamu wao, mila zetu tu ziliwabana ila kwa sasa ni uhuru wa kutosha. tarajia zaidi