The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Mkuu,lala ya Papa "Shark" inaitwa "Sleep swimming" wanalala huku wama swim!
[emoji23][emoji23][emoji23] Ndo ujue kuwa kufanya mapenzi sana hakumalizi nguvu za kiume bali mfumo wa maisha ndio chanzo.Haishiwi na nguvu za kiume?
Duh! Basi vicheche vitakuwa vinakojoa hadi vinatoa mapovu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndo ujue kuwa kufanya mapenzi sana hakumalizi nguvu za kiume bali mfumo wa maisha ndio chanzo.
Huyo alikuwa kenge kweli(literally and figuratively😁😁😁😁) anataka kuwinda mtu!!!. Indonesia kuna reptilia wakubwa jamii ya kenge, utakuwa unawapata Komodo dragon, wao huvizia na kumuuma mnyama. wana sumu kali sana. Mnyama akifa wanamla.huwa wanasema Ulimi ule ndio kama pua yao.
Ila mkuu nashangaa kuna pori flani nilikuwa naenda nikikaa mahala, nashangaa Kenge ananidana na limjusi moja kubwa sana.
Nikaona nihamie kwingine, Nikaona lile limjusi linakatiza likielekea upande wangu, hadi likanikaribia, Baada ya kumfukuza, haikuchukua Muda namuona kenge naye anaelekea upande wangu, akaja ananinyemelea hadi karibu, nikamtimua.
Nikabaki najiuliza
Pecking order kwenye kuku. Nilikuwa nasoma kitabu fulani cha ufugaji wa kuku kilisema uaiweke kuku mgeni kwenye banda lenye kuku wa zamani sababu itavuruga pecking order na kuleta vurugu bandani.
Kwa kawaida kuku kupitia kupigana mara kwa mara wananza kujua yupi mbabe na yupi dhaifu. Dhaifu hawezi mdindishia mbabe na hapo kuku wote huishi kwa amani kabisa. Ukiweka kuku mgeni anakuwa hajulikani kama ni mbabe au dhaifu hivyo ngumi zinaanza tena hadi akae mahali pake.
View attachment 984884
Its true hii nimeshaona majogoo ya kienyeji yakipigana kiasi had yule anaepigwa haingii mpaka ahakikishe mbabe kaingia karelax ndio huingia kwa timing
DuuuhKicheche ndio mnyama anayependa zaidi kujamiiana kuliko wanyama wote. Kwa siku hufanya tendo hilo angalau mara 60 ili kupata usingizi mwororo.
Ndo hivyo best, ndio maana hata binadamu ambae hajatulia huitwa kichecheDuuuh
Nimeamin kbsaNdo hivyo best, ndio maana hata binadamu ambae hajatulia huitwa kicheche