Maajabu ya wanyama

Maajabu ya wanyama

Kwahiyo halali yani hapati usingizi huyu kiumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,lala ya Papa "Shark" inaitwa "Sleep swimming" wanalala huku wama swim!

Shark species,that need to swim "constantly" to keep water moving over their gills,seen to have active period and restful periods rather than undergoing deep sleep like we do,they seem to be "sleep swimming" with parts of their brain less active or "resting" while the Shark remain swimming.
 
huwa wanasema Ulimi ule ndio kama pua yao.
Ila mkuu nashangaa kuna pori flani nilikuwa naenda nikikaa mahala, nashangaa Kenge ananidana na limjusi moja kubwa sana.
Nikaona nihamie kwingine, Nikaona lile limjusi linakatiza likielekea upande wangu, hadi likanikaribia, Baada ya kumfukuza, haikuchukua Muda namuona kenge naye anaelekea upande wangu, akaja ananinyemelea hadi karibu, nikamtimua.

Nikabaki najiuliza
Huyo alikuwa kenge kweli(literally and figuratively😁😁😁😁) anataka kuwinda mtu!!!. Indonesia kuna reptilia wakubwa jamii ya kenge, utakuwa unawapata Komodo dragon, wao huvizia na kumuuma mnyama. wana sumu kali sana. Mnyama akifa wanamla.

images-15.jpg
 
1546499199472.png

1546499289910.png


wale mabingwa wawili hawa hapa mkuu.
Ulimi huo uliwapoteza, labda nilikuwa natoa kemikali za panzi hahahahaha.
Ila hawakuwa violent nilipowatimua wakakimbia.
 
Viringisha mavi(dung beetle). Hawa wadudu huonekana wakiviringisha kinyesi cha wanyama. Mle ndani ya kinyesi ndimo hutaga mayai yai na pia ndiyo msosi wao. Kwao kinyesi ndiyo maisha yao na kimebeba uhai.Zamani wamisri walikuwa wanawapa miungu yao maumbo ya wanyama kama falcon, simba, beetle na kadhalika.
Mungu jua walimpa umbo la dung beetle. Walijua wenye lile donge la kinyesi linaloviringika kuna uhai sawa na jua linavyojiviringa angani asubuhi hadi jioni na kuleta uhai.
scarab-2490586_960_720.jpg
 
Pecking order kwenye kuku. Nilikuwa nasoma kitabu fulani cha ufugaji wa kuku kilisema uaiweke kuku mgeni kwenye banda lenye kuku wa zamani sababu itavuruga pecking order na kuleta vurugu bandani.
Kwa kawaida kuku kupitia kupigana mara kwa mara wananza kujua yupi mbabe na yupi dhaifu. Dhaifu hawezi mdindishia mbabe na hapo kuku wote huishi kwa amani kabisa. Ukiweka kuku mgeni anakuwa hajulikani kama ni mbabe au dhaifu hivyo ngumi zinaanza tena hadi akae mahali pake.
images-17.jpg
 
Its true hii nimeshaona majogoo ya kienyeji yakipigana kiasi had yule anaepigwa haingii mpaka ahakikishe mbabe kaingia karelax ndio huingia kwa timing
Pecking order kwenye kuku. Nilikuwa nasoma kitabu fulani cha ufugaji wa kuku kilisema uaiweke kuku mgeni kwenye banda lenye kuku wa zamani sababu itavuruga pecking order na kuleta vurugu bandani.
Kwa kawaida kuku kupitia kupigana mara kwa mara wananza kujua yupi mbabe na yupi dhaifu. Dhaifu hawezi mdindishia mbabe na hapo kuku wote huishi kwa amani kabisa. Ukiweka kuku mgeni anakuwa hajulikani kama ni mbabe au dhaifu hivyo ngumi zinaanza tena hadi akae mahali pake.
View attachment 984884
 
Uzito wa ulimi wa nyangumi mkubwa wa blue ni sawa na tembo mkubwa
 
goli moja la tembo ni sawa la lita tano, just imaging kidumu cha lita tano kweli mungu mkubwa...
 
Usisahau kutuelezea na wale wanyama Wa kinondoni waliokimbia pori wakaja mjini
 
Victor wanyama ni wa kwanza kutokea East Afrika kuifunga Barcelona
 
Back
Top Bottom