Mtoto Tajiri
JF-Expert Member
- Sep 29, 2014
- 300
- 173
Ni kweli ni maajabu ya baadhi ya watanzania wanalalamika maisha magumu Tanzania maisha yamebana!wakati mtu huyo huyo hajawahi kufika Mwanza,Shinyanga,Tabora,Singida,İringa,Arusha,Kilimanjaro,mbeya etc,umetoka tu Lindi to Dar unasema Tanzania hakuna ishu,pengine umezaliwa Dar hata Ukonga haupajui,Tanzania ni nchi pekee iliyobarikiwa na kila aina ya fursa,usihukumu Tanzania wakati hauijui!