Maajabu ya Wilaya ya Lushoto

Maajabu ya Wilaya ya Lushoto

Umefika lushoto au upo usangi unasema lushoto Kwa ulivoelezea kama umeelezea wilaya ya mwanga ambapo Kuna wapare n wagweno ambao nahisi ndio wambugu ila lushoto nayo ijua Mimi Kuna makabila tofauti wasambaa na wazigua ndio wamejaa na wapare kiasi
 
Maajabu sio lazima kuwe na mastori ya kutisha ambayo asilimia kubwa ni uongo mfano mzungu akija huku afrika akaona kulivyo kuchafu, dis-organized vumbi kila sehemu atastaajabu sana

Haya kwangu ni maajabu
Wengi wa watu wakisikia Wilaya ya Lushoto wanapata picha ya haraka haraka kwamba wenyeji wake ni wasambaa ila ukienda lushoto utashangaa kuna makabila matatu wanaishi vizuri tu nayo ni wapare na wambugu

Wilaya ya Lushoto kuna wapare na wambugu ambao wako baadhi yao hawajui hata kisambaa ila cha ajabu mbugu akiongea huwezi mtofautisha na mpare ni lugha moja ila wanajitambulisha kama makabila mawili tofauti

Ni rahisi sana mbugu kuongea kipare, ni ngumu kwa mpare kuongea kimbugu japo atakua anamsikia kwa tabu sababu lugha zao hazija-achana sana
ila kwa observation yangu wale wambugu na wapare ni kabila moja sijaona mantiki ya wao kuwa makabila mawili tofauti
Kwa hiyo lengo la hayo maajabu yako ni kutu undermine Wasambaa na hivyo kutengeneza mazingira ya kutaka kujimwambafai na huo Upare/Umbugu wenu siyo!!
 
Hao wambugu ni kabila tofauti na wapare, asili yao ni Ethiopia, sema wanaongea kipare kwa sababu wameishi sana huko upareni katika harakati zao za kuhama hama baadaye ndiyo wakaenda Lushoto. Wenyewe wana lugha yao wanaita kimbugu cha ndani ndiyo lugha yao halisi ambayo haijachakachuliwa na kipare au kisambaa
 
Maajabu sio lazima kuwe na mastori ya kutisha ambayo asilimia kubwa ni uongo mfano mzungu akija huku afrika akaona kulivyo kuchafu, dis-organized vumbi kila sehemu atastaajabu sana

Haya kwangu ni maajabu
Wengi wa watu wakisikia Wilaya ya Lushoto wanapata picha ya haraka haraka kwamba wenyeji wake ni wasambaa ila ukienda lushoto utashangaa kuna makabila matatu wanaishi vizuri tu nayo ni wapare na wambugu

Wilaya ya Lushoto kuna wapare na wambugu ambao wako baadhi yao hawajui hata kisambaa ila cha ajabu mbugu akiongea huwezi mtofautisha na mpare ni lugha moja ila wanajitambulisha kama makabila mawili tofauti

Ni rahisi sana mbugu kuongea kipare, ni ngumu kwa mpare kuongea kimbugu japo atakua anamsikia kwa tabu sababu lugha zao hazija-achana sana
ila kwa observation yangu wale wambugu na wapare ni kabila moja sijaona mantiki ya wao kuwa makabila mawili tofauti
Huku lushoto ndio wabishi no.2 tanzania baada ya waha
 
Kwa hiyo lengo la hayo maajabu yako ni kutu undermine Wasambaa na hivyo kutengeneza mazingira ya kutaka kujimwambafai na huo Upare/Umbugu wenu siyo!!
Ni-kivip nime-undermine wasambaa misio mpare wala mbugu
 
I jus miss lushoto. I miss mlalo....

Kale kabaridi flani hivi amazing...

Hivi Ile story ya kandee kapaa ni kweli ??
 
Maajabu sio lazima kuwe na mastori ya kutisha ambayo asilimia kubwa ni uongo mfano mzungu akija huku afrika akaona kulivyo kuchafu, dis-organized vumbi kila sehemu atastaajabu sana

Haya kwangu ni maajabu
Wengi wa watu wakisikia Wilaya ya Lushoto wanapata picha ya haraka haraka kwamba wenyeji wake ni wasambaa ila ukienda lushoto utashangaa kuna makabila matatu wanaishi vizuri tu nayo ni wapare na wambugu

Wilaya ya Lushoto kuna wapare na wambugu ambao wako baadhi yao hawajui hata kisambaa ila cha ajabu mbugu akiongea huwezi mtofautisha na mpare ni lugha moja ila wanajitambulisha kama makabila mawili tofauti

Ni rahisi sana mbugu kuongea kipare, ni ngumu kwa mpare kuongea kimbugu japo atakua anamsikia kwa tabu sababu lugha zao hazija-achana sana
ila kwa observation yangu wale wambugu na wapare ni kabila moja sijaona mantiki ya wao kuwa makabila mawili tofauti
Serikali ishushe bei ya mafuta aisee.

Sonona inamaliza taifa
 
Hilo mmelifanya sana bila mafanikio, ndo maa a mnaongezeka wenye sonona
Alafu hata unijui yaan unamtuhumu mtu usiyemjua hii ni forum na nimetumia haki yangu na hakuna sehemu kwenye uzi nimeponda kabila lolote au kutumia lugha ya matusi

Una stress za maisha pole sababu kuanza tu kumvaa mtu bila sababu za msingi hayo ni matatizo ya akili
 
Back
Top Bottom