Maajabu ya Yanga SC

wajibisha

Member
Joined
May 16, 2021
Posts
90
Reaction score
215
Unaweka kambi Morocco bila mipango, unarudi nyumbani unacheza na Freinds Rangers kujifua na mechi ya ligi ya mabingwa.

Hivi Nani kawaroga Utopolo?

Anayewauzia hizi bangi viongozi wa Yanga, Mungu anawaona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wenyewe na wachambuzi wao TAKATAKA walioko kwenye payroll ya msomali wanakuambia Senzi ni bonge la CEO, bonge la CEO lililoshindwa hata kufanya simple logistic tu ya kujua kwamba marrakech kuna outspread ya kutisha ya COvid 19 kisa kisa maghorofa unapeleka team huko

Wakafika wakaanza kutumia official social media zao ku wa mock simba walioenda Rabat(bush) wakisema hatuwaoni huku mjini, kipo wapi sasa?????
simba waliobaki wanaenda kambi ya utulivu karatu arusha ,camp la kisasa wakimaliza kina Manula majukumu ya stars team inaenda camp nje probably Egypt
 
Yanga walibugi sana wanajua eti senzo na yule mama j msukule ndo walifikisha simba robo fainali club bingwa africa ndo wamewachukua kumbe hawajui simba kwa ujumla inapambana km taasisi.Ni swala la mda tu wakija kujua hawajui ndo watawatimua jamaa.
 
Hao mwaka kesho mwzi wa 6 watakua washatoana ngeo
 
Walivyoona misimu kadhaa nyuma simba inafanya vizuri wakadhani labda mafanikio hayo yanachagizwa na senzo, kumbe ni uwekezaji mkubwa na viongozi makini,, senzo hajui fitna za mpira wa kibongo,,, uto walipomchukua wakadhani labda itakuwa kama ilivyo kwa simba,,
 
Yanga walibugi sana wanajua eti senzo na yule mama j msukule ndo walifikisha simba robo fainali club bingwa africa ndo wamewachukua kumbe hawajui simba kwa ujumla inapambana km taasisi.Ni swala la mda tu wakija kujua hawajui ndo watawatimua jamaa.
SENZO ALIWEKA REKODI SIMBA YA KUTOLEWA NA UD SONGO, try again, magori,barbra wamefanya kazi nzuri mara 100 yake
 
SENZO ALIWEKA REKODI SIMBA YA KUTOLEWA NA UD SONGO, try again, magori,barbra wamefanya kazi nzuri mara 100 yake
Kwa hiyo nyie Simba ndio mnajua habari ya yanga kuliko wao wenyewe ? Tatizo lenu nyie mnakariri Sana yaliyopita acheni wivu na dharau mwaka huu hapotoshi kila timu imesajili vzr kweli time will tell .
 
mshaunganisha team huko kigamboni? au tuwaletee super glue?
 
Unaweka kambi Morocco bila mipango, unarudi nyumbani unacheza na Freinds Rangers kujifua na mechi ya ligi ya mabingwa.

Hivi Nani kawaroga Utopolo?

Anayewauzia hizi bangi viongozi wa Yanga, Mungu anawaona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
unahumia ukiwa wapi
 
Taratibu mkuu unawachoma roho ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…