wenyewe na wachambuzi wao TAKATAKA walioko kwenye payroll ya msomali wanakuambia Senzi ni bonge la CEO, bonge la CEO lililoshindwa hata kufanya simple logistic tu ya kujua kwamba marrakech kuna outspread ya kutisha ya COvid 19 kisa kisa maghorofa unapeleka team huko
Wakafika wakaanza kutumia official social media zao ku wa mock simba walioenda Rabat(bush) wakisema hatuwaoni huku mjini, kipo wapi sasa?????
simba waliobaki wanaenda kambi ya utulivu karatu arusha ,camp la kisasa wakimaliza kina Manula majukumu ya stars team inaenda camp nje probably Egypt