Maajabu ya Yanga SC

mshaunganisha team huko kigamboni? au tuwaletee super glue?
Mbumbu fc .mikia fc .Wakiwa wengi makolokolo akiwa wawili Makolo na akiwa moja kolo kwa ujumla kujua kwingi kila kitu Cha yanga wanajua mnakaa Sana mchukueni Nugaz anakuja.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ten years
 
Kwa hiyo nyie Simba ndio mnajua habari ya yanga kuliko wao wenyewe ? Tatizo lenu nyie mnakariri Sana yaliyopita acheni wivu na dharau mwaka huu hapotoshi kila timu imesajili vzr kweli time will tell .
Hao wacheza mziki ndo mmeona mmesajiriiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]subirini wanaigeria waje wapige kwenye mshono ndo tutaheshimiana mkuu
 
Embu waacheni,wenzenu wanatafuta muunganiko nyinyi mnawabughudhi.
Kwani wanataka kuunga pilau [emoji1787][emoji1787][emoji1787]maaana najua si mda mrefu wataanza lawama kwa tff kwa vichapo watakavo chukua.
 
Iendeleee kuchapa hivihiviii tuone panapovuja tena safari hii inyeshe ya mawe kabisa iondoke na paa pamoja na kuta tuone vya ndani.
 
Hao wacheza mziki ndo mmeona mmesajiriiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]subirini wanaigeria waje wapige kwenye mshono ndo tutaheshimiana mkuu
Endeleni kukariri hao mnawaona Ni wanamziki ndio waliowapiga hamsa hamsa mnajuaga kujitoa ufahamu nyie hao wacongo mnao wadharau kwao Wana asili ya mpira mkubwa kuliko hata sisi wabongo kichwa Cha mwendawazimu .Time Will tell.
 
Na ndio hao hao tuliowapiga nje ndani last season ..
 
Endeleni kukariri hao mnawaona Ni wanamziki ndio waliowapiga hamsa hamsa mnajuaga kujitoa ufahamu nyie hao wacongo mnao wadharau kwao Wana asili ya mpira mkubwa kuliko hata sisi wabongo kichwa Cha mwendawazimu .Time Will tell.
Mkuu na ww umekalili kwamba mambo yatajirudia Simba imejipanga zaidi hata ww kimoyo moyo unajua hilo.Kipimo chenu ni wanaigeria na sisi bado tutakuja kuwakandamiza tarehe 25
 
Unaweka kambi Morocco bila mipango, unarudi nyumbani unacheza na Freinds Rangers kujifua na mechi ya ligi ya mabingwa.

Hivi Nani kawaroga Utopolo?

Anayewauzia hizi bangi viongozi wa Yanga, Mungu anawaona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana wanaitwa UTOPOLO FC

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Unaweka kambi Morocco bila mipango, unarudi nyumbani unacheza na Freinds Rangers kujifua na mechi ya ligi ya mabingwa.

Hivi Nani kawaroga Utopolo?

Anayewauzia hizi bangi viongozi wa Yanga, Mungu anawaona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inakuhusu nini wewe Simba,wewe subiri kwenye mechi ya Ngao ya jamii kati ya Yanga na Simba tutamjua nani kajifua vizuri si mbali ni Tarehe 25/9 /2021.Ndiyo utakuwa mwisho wa makelele yenu watu kama wewe usiyejua mpira
 
Unaweka kambi Morocco bila mipango, unarudi nyumbani unacheza na Freinds Rangers kujifua na mechi ya ligi ya mabingwa.

Hivi Nani kawaroga Utopolo?

Anayewauzia hizi bangi viongozi wa Yanga, Mungu anawaona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maajabula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…