Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
[blue]Wapo wachache huko zanzibar wanaakili kisoda, useless, aidha wamedata akili, same to hapa bara wapo waliodata akili na solutions wanaona bora chadema iingie LABDA hali itakuwa nzuri, kumbe maisha yameshikwa na BIDII, UBUNIFU, na UCHAPAKAZI.[/blue]Sasa muungano gani unayenufaisha upande mmoja tu? Hao wanzanzibar wenyewe ukiwauliza vipi muungano wanaukataa licha ya faida hizo wanazonufaika nazo, wakiamini kuwa wakiwa nje ya muungano kuna manufaa zaidi!!
Uvuvi ni kilimo mtoa mada ni mbumbumbuZanzibar pesa waonazipata kwenye,uvuvi na biashara za ndani na nje ya nchi na wanunuzi wakubwa wa mazao ya bara na kuuza Zanzibar pia ndio wafanyabiashara wakubwa bara mfano wapemba wamejaa huku wakifanya biashara bara na Zanzibar Pia ndio wameshika sekta ya utalii kuanzia sehemu za vyakula,nyumba za kupangisha wafanyakazi wa sekta ya utalii kama mahoteli nk hupanga vyumba vya nyumba zao Kwa bei Kali na wapangaji wengi wafanyakazi huko wanataka bara ambao wamejazana hasa kwenye kazi za mahoteli mamia ya kitalii yaliyoko Zanzibar .
Mleta mada unaonyesha hujafika Zanzibar
Ferry Dar wavuvi wa Zanzibar huleta samaki Kila siku wakiuza wanageuza wanarudi zao Zanzibar
Muulize karafuu iliyopo Dar inalimwa wapi uone kama atakujibuZnz tunalima na kufuga pia, njoo makunduchi uone[emoji1316]
Wanakua wamevua hapo bagamoyo usiku kucha.Uongo nenda soko la kimataifa la samaki la Ferry alfajiri wanzanzibari wako kibao wanashusha samaki
Kwani nani aliyesema kuwa uchumi wa nchi ikiwemo Tanzania unategemea kilimo tu?
Soma vizuri andiko,lengo ni kuonyesha kuwa kilimo sio shughuli pekee ya kujenga uchumi wa nchi
Nyinyi huku bara ambao imani za dini kwenu sio kikwazo mmefikia wapi kimaendeleo? Licha ya kuwatoa wanawake wenu wawasaidie kimajukumu. Hivi wewe kafiri bila kuukashifu Uislam na waislam unahisi vipi?Imani za, dini ni kikwazo, mabinti wa, zenj, wao ni kuzaa tu na kuvaa ushungi! Na kusubili pipe usiku
Mleta mara hajui kule Kuna kilimo Cha pesa baharini wanaita kilimo Cha mwaniUchumi wa bluu ndugu! Baharini kuna viumbe na vyakula mara elfu kuzidi kwenye mavumbi huko!
Huwa wanakuwa wangapi hao "kibao" wanaoshusha samaki ferry?Uongo nenda soko la kimataifa la samaki la Ferry alfajiri wanzanzibari wako kibao wanashusha samaki
Naona tunaongea vitu tofauti.soko la kimataifa la samaki la Ferry alfajiri wanzanzibari wako kibao wanashusha samaki
Wewe ulitaka wawe wangapi ili ndio iwe tafsiri ya ''Kibao'' kwako?Huwa wanakuwa wangapi hao "kibao" wanaoshusha samaki ferry?
Na ndio maana wakija bara hawataki tena kurudi makwaoMaisha ya wazanzibari ni magumu, wengi wao kama sio wote wana ratiba ya milo miwili kwa siku, boflo zinaliwa sana, na hizo boflo zenyewe ni nyepesi mno...
Na muungano hawautaki?Na ndio maana wakija bara hawataki tena kurudi makwao
lakini umeandika kwa dhihaka, kama vile Wazanzibari hawafanyi kazi, wanacheza dhumna tangu asubuhi na kusubiri kudura ya Mungu kupata chakula, kitu ambacho siyo kweli.Soma vizuri andiko,lengo ni kuonyesha kuwa kilimo sio shughuli pekee ya kujenga uchumi wa nchi
Naona tunaongea vitu tofauti.
Yes lobster,crab,prawns,oyster.tuna ni vigumu sana wavuvi wetu kupata.
Hao samaki wanapatikana deep sea.
Tatizo vyombo vyao dhaifu.
Mzanzibar ye anakuja na mzigo toka kwenu huko.
Asubuhi kauza anaondoka
Hao wadudu wote hapo☝️
Huwakuti sa mbili tu.
Changu,kolekole ,vibua ,tasi na wengine wapo
Hauna akili[blue]Wapo wachache huko zanzibar wanaakili kisoda, useless, aidha wamedata akili, same to hapa bara wapo waliodata akili na solutions wanaona bora chadema iingie LABDA hali itakuwa nzuri, kumbe maisha yameshikwa na BIDII, UBUNIFU, na UCHAPAKAZI.[/blue]
Sikuwa na maana hiyo nilitaka kuonyesha jinsi gani watu wanaendesha maisha yaobila kutimia nguvu lakini wabakula wanashiba tofauti na watu wa bara wanaoshinda mashambani lakini maisha magumulakini umeandika kwa dhihaka, kama vile Wazanzibari hawafanyi kazi, wanacheza dhumna tangu asubuhi na kusubiri kudura ya Mungu kupata chakula, kitu ambacho siyo kweli.
Ungekwenda nje ya mji ukaona watu wanavyoshughulika tangu asubuhi mpaka jioni kwenye kilimo, uvuvi na mambo mengine.
Fact must told, although it give out bitter pain!