nabiidaniel
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,937
- 2,678
Siku muungano ukivunjika Itakuwa ndio mwisho wa vya bure, watalima tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungekuwa makini hata kwenye hiyo elimu ya kidato cha 4, usingeanzisha uzi wa kipimbi namna hiiAliyesema kilimo ni uti wa mgongo au kale kamsemo ka mhenga kuwa kama mnataka mali mtayapata shambani aje zanzibar.hata ule msemo wa kwenye bible kuwa asiyefanya kazi asile aje unguja atengue kauli yake.
Unguja nzima ng'ombe walioko hawazidi 1000,mashanba yaliyopo yanatosha kulisha wilaya moja au mbili,lakini hutosikia Zanzibar wana njaa au wamekosa chakula,
Saa nne watu wanacheza bao na dhumna ila ikifika mchana madogo wanakuja kuwaita baba zao kijiweni waende wakale msosi nyumbani
What do you mean by the word TANZANIA,zanzibar inclusive rigjht.Ungekuwa makini hata kwenye hiyo elimu ya kidato cha 4, usingeanzisha uzi wa kipimbi namna hii
TANZANIA
GDP $75 billion
Population 70 million
$75billion/70 million = $1071.42 per capita
ZANZIBAR
GDP $3.75billion
Population 1.8million
$3.75billion/1.8million = $2083.33 per capita
Aliyesema kilimo ni uti wa mgongo au kale kamsemo ka mhenga kuwa kama mnataka mali mtayapata shambani aje Zanzibar. Hata ule msemo wa kwenye bible kuwa asiyefanya kazi asile aje Unguja atengue kauli yake.
Unguja nzima ng'ombe walioko hawazidi 1000, mashanba yaliyopo yanatosha kulisha wilaya moja au mbili lakini hutosikia Zanzibar wana njaa au wamekosa chakula.
Saa nne watu wanacheza bao na dhumna ila ikifika mchana madogo wanakuja kuwaita baba zao kijiweni waende wakale msosi nyumbani.
Mahindi je?Mihogo,ndizi,mpunga,
Mnalima wapi shehe
Mwenye macho haambiwi tazamaMnalima wapi shehe wangu
Agreed , you are an imbecilic illiterateWhat do you mean by the word TANZANIA,zanzibar inclusive rigjht.
Forget about that .whith reference to your data u mean zanzibari have better life than Tanzania mainland ,stupid.
Mm nilifika Zbar nilishangaa sana.nilikua nikiamka mapema ili kuwahi shughuli ilonipeleka lkn saa moja asubuh watu bado wamelala mpaka ilinilazimu kuchukua tax spesho ili awe anakuja kunichukua mapema.Na kiukweli nilishangazwa na mambo mengi watu wale bado wako nyuma sanaNa ndio maana wakija bara hawataki
Saudi wanalima kuliko unavyodhania! Acha umbululaSio kila Mji/Nchi inategemea kilimo tu kwenye uchumi wao.
Saudi Arabia wanalima? Dubai, Qatar, Singapore..... huko wote wanategemea kilimo?
Maajabu ya Bongo!Aliyesema kilimo ni uti wa mgongo au kale kamsemo ka mhenga kuwa kama mnataka mali mtayapata shambani aje Zanzibar. Hata ule msemo wa kwenye bible kuwa asiyefanya kazi asile aje Unguja atengue kauli yake.
Unguja nzima ng'ombe walioko hawazidi 1000, mashanba yaliyopo yanatosha kulisha wilaya moja au mbili lakini hutosikia Zanzibar wana njaa au wamekosa chakula.
Saa nne watu wanacheza bao na dhumna ila ikifika mchana madogo wanakuja kuwaita baba zao kijiweni waende wakale msosi nyumbani.
Maajabu ya Bongo!
Hatari sana aiseeMaajabu ya Bongo!
Toka huko Kijijini uijue Dunia kiazi wewe.Saudi wanalima kuliko unavyodhania! Acha umbulula
Mkuu huwezi kulinganisha umaskini wa Bara na Zanzibar..pamoja na umaskini Zanzibar wako mbele kulingana na sisi ..
Huduma za kijamii zinazopatikana Zanzibar ninangalau kuliko za Bara,
Mzunguko wa pesa kwa Zanzibar ni kubwa kuliko Bara
Hii inatokana na udogo wa Zanzibar kulinganisha na Bara..
Ninapongelea Bara naongelea vijijini huko ndani ndani.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Vyakyla,mavazi,electrical appliance,magari,pikipiki wako juuMkuu huwezi kulinganisha umaskini wa Bara na Zanzibar..pamoja na umaskini Zanzibar wako mbele kulingana na sisi ..
Huduma za kijamii zinazopatikana Zanzibar ninangalau kuliko za Bara,
Mzunguko wa pesa kwa Zanzibar ni kubwa kuliko Bara
Hii inatokana na udogo wa Zanzibar kulinganisha na Bara..
Ninapongelea Bara naongelea vijijini huko ndani ndani.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app