Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Sio kila sehemu wana lima. Kilimo ni uti wa mgongo wa Tanzania sio Africa. Usijisahau maneno hayo yalitoka kwa nani, Tanzania tunategemea kilimo kwa asilimia hamsin. 95-97 kwaajili ya consumption. Siisi Tanzania au muite basi Tanganyika,
Soma vizuri andiko,lengo ni kuonyesha kuwa kilimo sio shughuli pekee ya kujenga uchumi wa nchi
Nani kakuambia, wali-samaki uliopikwa nyumbani kwa mzanzibari huwezi kuula wewe mbara. Achana na events, zitakudanganya.Wanakula vizuri nadikidiko kuliko wanaoshinda mashambani huko bara,
Saudi arabia wanalima maweseSio kila Mji/Nchi inategemea kilimo tu kwenye uchumi wao,
Saudi Arabia wanalima? Dubai,Qatar,Singapore.....huko wote wanategemea kilimo?
Hizo tende unazokula ramadhani na nyama ya mbuzi vinatoka saudi,mafuta ya korie na oki yanatoka malaysia na singaporeSio kila Mji/Nchi inategemea kilimo tu kwenye uchumi wao,
Saudi Arabia wanalima? Dubai,Qatar,Singapore.....huko wote wanategemea kilimo?
Sasa kama unatolea mfano wa vitu vidogo kiasi hicho,basi na mimi nikwambie kua,hizo Karafuu unazoziona bara zinatoka Zanzibar,Hizo tende unazokula ramadhani na nyama ya mbuzi vinatoka saudi,mafuta ya korie na oki yanatoka malaysia na singapore
Fuatilia agricultire in saudi arabia ,wanalima ngano,dates,vegetabkes,wanafuga sana kuku wa nyama na mayai,mafuta ya kula ya singapore na malaysia ni project kubwa sana wamewekeza huko,usikariri nduguSasa kama unatolea mfano wa vitu vidogo kiasi hicho,basi na mimi nikwambie kua,hizo Karafuu unazoziona bara zinatoka Zanzibar,
Hizo nyama za Mbuzi unazopata toka Saudi ni imported,ambazo huagizwa rasmi hasa wakati wa kipindi cha watu kuhiji ili wachinje na kutimiza ibada ya hijja zao,ndio hizo nyama baadae hutawanywa kama msaada, kingine mafuta ya kula yanapotoka nchi fulani haimaanisha materials yake wanalima wao,kuna nchi zinakua na viwanda vya kuchakata tu ila materials zinatoka nje.
Uvuvi ipo wizara gani?Uvuvi ni kilimo au ni uwindaji we ndio mbumbumbu
Zanzibar pesa waonazipata kwenye,uvuvi na biashara za ndani na nje ya nchi na wanunuzi wakubwa wa mazao ya bara na kuuza Zanzibar pia ndio wafanyabiashara wakubwa bara mfano wapemba wamejaa huku wakifanya biashara bara na Zanzibar Pia ndio wameshika sekta ya utalii kuanzia sehemu za vyakula,nyumba za kupangisha wafanyakazi wa sekta ya utalii kama mahoteli nk hupanga vyumba vya nyumba zao Kwa bei Kali na wapangaji wengi wafanyakazi huko wanataka bara ambao wamejazana hasa kwenye kazi za mahoteli mamia ya kitalii yaliyoko Zanzibar .
Mleta mada unaonyesha hujafika Zanzibar
Ferry Dar wavuvi wa Zanzibar huleta samaki Kila siku wakiuza
Zanzibar kuna watu wanashindia uji mzee π
Zanzibar kuna watu wanashindia uji mzee πππ
Hapana mkuu Wanzanzibar hawajui kula vizur vyakula vyao Virginia ni kutoka nje na vibovu ndiyo maana wanawahi kufa mapema na kuzeeka mapema yani Umri wa kuishi Kwa Zanzibar upo chini sana, yani Ukienda Vijijini na mjini kukuta wazee ni ngumu sana yani kwenye Vijana kumi wenye umri wa miaka 35 Baba zao wote wamefariki, Mtumzima wa miaka 50 kwa Zanzibar kimuonekano ni mzee sana yani Wanzanzibar wanawahi kuzeeka, Sababu ya kuwahi kuzeeka ni aina ya maisha wanayoisho kwa mfano wao kunywa chai ya Maziwa, mkate na Blue band awali, Wao kuku wa kienyeji awali nyegere. Wao wanapenda kula kuku kutoka Brazili wanaletwa kwenye makontena na Michele kutoka Vietnam isiyofaa kwa maximizing ya Binadamu.Wanakula vizuri nadikidiko kuliko wanaoshinda mashambani huko bara,
Mkuu huwezi kulinganisha umaskini wa Bara na Zanzibar..pamoja na umaskini Zanzibar wako mbele kulingana na sisi ..Hujafika zenj wewe! Umaskini uliopo huko, ni balaa, nenda paje,uroa, understand uone umaskini, hakuna cha ajqbu, bila ma hotel ya kitalii, fedha ni ngumu zenj, vijana kama sio madereva wana kuwa beach Boys, sex toys, kazi, za mahotelini,zinafanywa sana na mabinti kutoka Bara, wa zenj, Imani za, dini ni kikwazo, mabinti wa, zenj, wao ni kuzaa tu na kuvaa ushungi! Na kusubili pipe usiku
Mboga tembele,mchicha na kisamvu kimejaa tele. Tungule ndio kibao inategemea na msimu lkn, ndimu zipo, kuna mihogo, viazi, ndizi mkono wa tembo na mtwike kama zote. Asilimia kubwa ya wazanzibar wanatumia mchele wa mapembe au jasmine ambao unaletwa kutoka nchi za nje pamoja na basmat.. baadhi ndio wanatumia mbeya ambao ndio unatoka bara.Hujafika zenj wewe! Umaskini uliopo huko, ni balaa, nenda paje,uroa, understand uone umaskini, hakuna cha ajqbu, bila ma hotel ya kitalii, fedha ni ngumu zenj, vijana kama sio madereva wana kuwa beach Boys, sex toys, kazi, za mahotelini,zinafanywa sana na mabinti kutoka Bara, wa zenj, Imani za, dini ni kikwazo, mabinti wa, zenj, wao ni kuzaa tu na kuvaa ushungi! Na kusubili pipe usiku
Wengine wakiongelea bara wanaongelea miji tu wanadhani hatujui maisha ya watu wa vijijini. Kuna wasichana wa kazi wanakuja zenji from bara wananuka kama fungo. Hawajui chcht inaanza nae alif kwa ujiti kama mtt mchangaMkuu huwezi kulinganisha umaskini wa Bara na Zanzibar..pamoja na umaskini Zanzibar wako mbele kulingana na sisi ..
Huduma za kijamii zinazopatikana Zanzibar ninangalau kuliko za Bara,
Mzunguko wa pesa kwa Zanzibar ni kubwa kuliko Bara
Hii inatokana na udogo wa Zanzibar kulinganisha na Bara..
Ninapongelea Bara naongelea vijijini huko ndani ndani.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Sio kweli. Zanzibar mboga za majani zinalimwa sana tu. Na kuna baadhi pia wanalima mpunga wa chakula. Matunda pia yapo ya kutosha pia. Huko vijijini unakokisema ndio umebugi, maan wao ndio wanakula sn organic. Viazi, ndizi, mihogo, samaki na mbogamboga ndio chakula chao kikuu na ukienda makondeni kwao watu wazima wa miaka 60 na zaidi bado wanalima. Msipotoshe watu wanastaafu miaka 60 na bado wapo fit. Kukuta mtu mzima wa miaka 60 mpk 70 anafanya mazoezi njiani ni kawaida tu. Watu wakimaliza kuswali alfajiri wanapiga tizi tena wapo karb na bahari ndio kabisa, na ni aslimia ndogo sn kwa wanaokunywa pombe kwa hio ndio kabisa hakuna kuzeeka zeeka kusiko na mpangoZnzibat
Hapana mkuu Wanzanzibar hawajui kula vizur vyakula vyao Virginia ni kutoka nje na vibovu ndiyo maana wanawahi kufa mapema na kuzeeka mapema yani Umri wa kuishi Kwa Zanzibar upo chini sana, yani Ukienda Vijijini na mjini kukuta wazee ni ngumu sana yani kwenye Vijana kumi wenye umri wa miaka 35 Baba zao wote wamefariki, Mtumzima wa miaka 50 kwa Zanzibar kimuonekano ni mzee sana yani Wanzanzibar wanawahi kuzeeka, Sababu ya kuwahi kuzeeka ni aina ya maisha wanayoisho kwa mfano wao kunywa chai ya Maziwa, mkate na Blue band awali, Wao kuku wa kienyeji awali nyegere. Wao wanapenda kula kuku kutoka Brazili wanaletwa kwenye makontena na Michele kutoka Vietnam isiyofaa kwa maximizing ya Binadamu.
Aisee juzi kati hapo mume karudi na mkungu mzima wa ndizi ananiambia unauzwa elfu 12 tuZnz tunalima na kufuga pia, njoo makunduchi uone[emoji1316]