Maali alipo Humphrey Polepole tuhakikishe tunampeka Abdul pia

Maali alipo Humphrey Polepole tuhakikishe tunampeka Abdul pia

Uyu mama sijui alifikiria nn, mbona ange enjoy sana kama angelikaa pembeni kipindi kile kwa ushauri wa polepole na kula matunda aliyoiba…
 
ukweli mtupu HAYUKO HAI TENA.
kwenye kukamatwa kaleta upinzani na migomo kapondwa sana na kupelekea kuvuja damu maeneo mbalimbali na ubongoni ilipopelekea kifo chake.

anyway na CCM yake mpya ni hakika.

watu wanasema alikuwa na majivuno na hapokei simu wala kujibu sms na namba kawapa mwenyewe.

kila sarafu ina upande miwili ila HPOLEPOLE karudi kwenye chanzo kama kila ben saanane BYEBYE
from Mwananchi mmoja raia wa wa Tanzania
 
He is DEAD!
WAMPE MAMA YAKE NA NDUGUZAKE MWILI WAZIKE TU!
INASIKITISHA HAWA WAUAJI KUUWA WATU KISA MALI, MADARAKA NA UBINAFSI!
THEY ARE DEVILS KABISA!
IKIWATOKEA WAO WATAJISIKIAJE?!
 
Back
Top Bottom