Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Ni jambo jema!Maalim Seif akabidhiwa fomu za kuomba ridhaa ya Chama cha ACT Wazalendo kuwa Mgombea Urais wa Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Kakabidhiwa fomu hizo na Katibu Mkuu wa Chama, Ndugu AAdo Shaibu katika Ofisi Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo iliopo Vuga, Zanzibar.
Jecha atatupa mbinu zote.Swali: Goli la mkono linazuiliwaje?