Cannibal OX
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,164
- 3,553
Kama Wahehe.Siku wapemba wakija kumjua Maalim Seif halisi, huenda wakapatwa na katabia kakujiua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Wahehe.Siku wapemba wakija kumjua Maalim Seif halisi, huenda wakapatwa na katabia kakujiua.
Angecheza na akili za wazanzibar jecha angefuta uchaguzMaalim seif ndo wale wale
Jamaa anacheza akiri za wanzabari
Maalim ndo mpinzani pekee mwenye ushawishi wa kutosha Zanzibar...ili kumpata mtu kama Maalim Znz inabidi ama huyu mzee afariki au ajiuzulu siasa abaki kuwa mshauri tu...ila kwa sasa hakuna jinsi inabdii awe yeye tu kwa sababu ushawishi wake kwa kundi kubwa la wazenji haumithiliki..na pengine ACT wameona kwa Zanzibar ili watie hamsha hamsha ya kweli lazima wamsimamishe huyu jembe.Jana nimemuona Maalim Seif akichukukua fomu ya kugombea uraisi huko Zanzibar kupitia ACT,amedai amefanya hivyo baada ya kuona hakuna mtu mwingine aliyejitokeza kutoka upande wa chama chake cha ACT kuchukua fomu ya kuwania uraisi wa Zanzibar,huo ni uongo na uzandiki kwa mtu ambaye anataka kuwa raisi,tunajua fomu iliyochapwa ni moja tu.Seif anatakiwa apumzike...