Bila shaka anafanya ibada pia.huyu mzee angefanya ibada sana katika umri huu aliokuwa nao sasa hivi aachane na haya mambo sasa
sawa lkn kuna point of no return ambayo ndo yuko nayo sasa hvi.Bila shaka anafanya ibada pia.
anataka kutuachia nchi ya haki.huyu mzee angefanya ibada sana katika umri huu aliokuwa nao sasa hivi aachane na haya mambo sasa
Wavuruga nchi ni CCMNahisi woga sana ndani ya moyo wangu. Naona kama safari ya 2001 na moja inaanza rasmi. Ila ninawaomba CCM wawe makini sana wasijekuwa chanzo cha kuvuruga hii nchi.
Atatangazwa na nani?Maalim Seif baada ya kuchezewa shere sana hatimaye 2020 hii anaingia ikulu ya Zanzibar.
Wee tulia, damu walioapa wapemba kuimwaga ndo itamstaafishahuyu mzee angefanya ibada sana katika umri huu aliokuwa nao sasa hivi aachane na haya mambo sasa
Umeiona clip ya maazimio ya jihad kule Pemba? Wameamua haswa.Atatangazwa na nani?
wanasema anything is possible lkn sio kwa huyu mzee wazanzibar sio wajinga kias hicho aiseWee tulia, damu walioapa wapemba kuimwaga ndo itamstaafisha
Anachotaka ni nafasi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Zanzibar kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar! Alisusa 2015 akakosa vyote akajaribu kukimbilia kwa mabeberu yakamwahidi eti yatampa urais akaja kuwadanganya Wapemba eti atarudishiwa urais wake mpaka tumefika 2020!! Mzee amechukua tena Fomu sijui anataka mpaka afie kwenye kugombea urais!!Atatangazwa na nani?
Hakuna kitu wataishia kutishiaUmeiona clip ya maazimio ya jihad kule Pemba? Wameamua haswa.
Bora anayewapigania watanzania kuliko baba yako ambaye hana faida kwa watanzaniaAnachotaka ni nafasi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Zanzibar kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar! Alisusa 2015 akakosa vyote akajaribu kukimbilia kwa mabeberu yakamwahidi eti yatampa urais akaja kuwadanganya Wapemba eti atarudishiwa urais wake mpaka tumefika 2020!! Mzee amechukua tena Fomu sijui anataka mpaka afie kwenye kugombea urais!!
wanasema anything is possible lkn sio kwa huyu mzee wazanzibar sio wajinga kias hicho aise
Anachotaka ni nafasi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Zanzibar kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar! Alisusa 2015 akakosa vyote akajaribu kukimbilia kwa mabeberu yakamwahidi eti yatampa urais akaja kuwadanganya Wapemba eti atarudishiwa urais wake mpaka tumefika 2020!! Mzee amechukua tena Fomu sijui anataka mpaka afie kwenye kugombea urais!!