Zanzibar 2020 Maalim Seif achukua fomu za kuteuliwa kugombea Urais wa Zanzibar

Zanzibar 2020 Maalim Seif achukua fomu za kuteuliwa kugombea Urais wa Zanzibar

Kwa hapa! Naanza kuuona umhimu wa katiba inayotangaza umri wa mtu kuwa kiongozi mkuu wa Taifa letu na umri ambao mtu akiufikisha hatakiwi kuomba nafasi hiyo

Akili ya vijana huona mbaaaali Sana Ila huwa mara nyingi Hekima Ndiyo huwa ni shida katika umri huo, lakini umri uliopita kwenye kufikiri Kwa haraka na kuchukua hatua ni mzigo makubwa mahala popote pale

Tunahitaji katiba
Katiba ya ku-discriminate wazee ?, Au unaona wananchi hawana busara / akili ya kufahamu kwamba huyu anafaa au hafai hadi sheria ndio iwapangie wachague mtu wa umri gani
 
Anafurahia kuchukua form, wakati wabunge wameeshaenguliwa wote?!
 
Maalim - tatizo ni Tume. Bado haijabadilika. Ni muundo ule ule wa 1995. Umelea joka hili tangu 1995. Ulitakiwa kuongoza mapigano wa kupata Tume huru kwanza.
 
Mimi nashangaa hawa wazee wetu. Badala ya ku-address root causes ya tatizo wao wanacheza na dalili zake tu. Bila Tume mwisho wa dunia utafika bila kutoboa. Tangu 1995 ni hivi hivi. Tena mwaka huu ni zaidi. Hata kupigiwa kura hawaruhusiwi. Zamani walikuwa hanapigiwa kura lakini hawatangazwi kama washindi. Mwaka huu hata kupigiwa kura hawaruhusiwi. Kwa kweli Magufuli anatakiwa siku moja asimame mahakamani huko mbele ya safari.
Anafurahia kuchukua form, wakati wabunge wameeshaenguliwa wote?!
 
Mimi nashangaa hawa wazee wetu. Badala ya ku-address root causes ya tatizo wao wanacheza na dalili zake tu. Bila Tume mwisho wa dunia utafika bila kutoboa. Tangu 1995 ni hivi hivi. tena mwaka huu ni zaidi. Hata kupigiwa kura hawaruhusiwi.
Labda anagombea ili awe na cha kusema baadaye, maana asipokuwa mgombea hatokuwa na uwezo kulalamika.

Wanachezewa rough lakini wanabaki kutoa matamko tu, walipaswa wawe na jeshi la msituni, nao wakinukishe huko ccm, mkilia wote kunaweza kupatikana suluhu, lakini mnalia nyie tu, mnaonekana wajinga na wapuuzi.
 
Umeona, wasu? Wanaambiwa msifanye siasa nao wanatii kwa miaka 5, wakati katiba ya nchi inaruhusu. Wanaishia kusema tu. Maalim Seif angekuwa na dhamira, mwaka wake ulikuwa 2015 wakati walipofuta matokeo ya uchaguzi. Watu walikuwa na huruma sana kwake. Na Shein wa watu alikwishakubali kuachia, akalazimishwa na akina Mkapa. Huo ndio ulikuwa muda mzuri wa kukianzisha. Na tena huko Zanzibar ana wafuasi kibao!

Dhuluma ya wazi kabisa wao wanalialia tu. Wangeweza kuji-organize vizuri, mwaka huu kusingekuwa na uchaguzi na mabadiliko makubwa yangefanyika. wanashindwa hata kushughulika na wasimamizi wa uchaguzi wahuni tunaoishi nao huku mitaani! Ngoja tumsikie baada ya kuchukuwa fomu atasema na atafanya nini.

Hana cha kusema ni blabla tu, labda ndivyo alikubaliana na Magufuli kwamba uwe unachangamsha uchaguzi ili wananchi wajitokeze kupiga kura.

Uchaguzi serikali za mitaa ulikuwa unatosha, kuachana na uchaguzi mpaka kueleweke,wanajitia ustaarabu kumbe ujinga.

Na wananchi hawatawaunga mkono kamwe nakwambia, watalialia kwenye video za simu zao na kuturushia nasi tutachangia humu humu na kuyaacha humu humu.

Tume imeshakata wagombea bila sababu, wanakenua meno, wataonja nguvu ya uma wao mwaka huu, wananchi nao kimyaaa.

Ni upuuzi ku sympathize na hawa wanasiasa, wanakutieni hope halafu wanafanya tofauti.
 
Maalim amezeeka sana. Zanzibar haiwezi kuongozwa na mzee wakati kijana mwinyi yupo.
 
Maalim Seif baada ya kuchezewa shere sana hatimaye 2020 hii anaingia ikulu ya Zanzibar.
Sasa huyu alisema tena kwa jazba kwamba hatagombea mpaka wale walioenguliwa Pemba warudishwe na endapo hawatarudishwa patachimbika swali jee wamesharudishwa
 
Mb
Mgombea wa Urais visiwani humo kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amefika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kwa ajili ya kuchukua fomu za kuteuliwa kugombea

Maalim amesindikizwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Zanzibar Juma Duni Haji, Naibu Katibu Mkuu Mazrui Nassor na viongozi wengine

View attachment 1552867

View attachment 1552871
Mbona mkoba haujanona au fomu zingine hazikuwekwa makusudi wamuengue?
 
Back
Top Bottom