Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Aliyetangaza ni tume 27 na 28 na time haijakataza watu wote kwenda, hizi sasa ni adhabu za sekondari za kung'oa visiki.Tume ya Uchaguzi Visiwani Zanzibar imemtaka Mngombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha @ACTwazalendo maalim @SeifSharifHamad kufika kwenye kamati ya Maadili Majira ya saa 7 mchana kujieleza juu ya malalamiko yaliyotolewa na chama cha Demokrasi makini kuhusiana na Kauli Aliyoitoa siku za hivi karibuni ya kuwaambia watu wakapige kura Oktoba 27 mwaka huu badala ya Octoba 28 siku iliopangwa na ZEC.
"Narudia SOTE TUKAPIGE KURA OKTOBA 27"- amesisitiza tena Maalim Seif baada ya wito huo.
Ya sita ingekuwa; " Nileteeni Gwaa" na yeye chini!Nileteeeni Gwajimaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaàaaaaaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Hamnionei hata huruma sauti hadi inakauka
Sent using Jamii Forums mobile app
Baraza la wawakilishi lilikuwa batili na sheria ni batili. Umeona wapi kuwa na makamo wa pili wa raisi bila ya kuwa na wa kwanza? Wewe mtu akimtafuna mke wako utaendelea kukaa nae tu kwa vile unaogopa jamaa atakuwa anmla freely?Hayo Mambo aliyataka Maalim Seif mwenyewe pale alipokataa kushiriki uchaguzi wa marejeo akawaachia CCM peke yao watawale Baraza la wawakilishi, Sasa wakapitisha Sheria ya uchaguzi wa mapema. Kufuta hii Sheria Hadi muswada upelekwe Tena kwenye Baraza la wawakilishi.
Sijui hakutembea na dawa mzee wa ccmYa sita ingekuwa; " Nileteeni Gwaa" na yeye chini!
Mutanyooshwa kweliNdio mukaamua kuwaengua wagombea ili asuse lkn marahii hasusi mtu 27 nasisi tutakwenda na 28 tutaenda mwambieni siro azidi kuongeza vikosi vya mapolis
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Hata mimi nashangazwa na hilo. Eti nasikia upugaji wa tarehe 27 utahusisha makundi yote yatakayohusika kusimia uchaguzi wa Oktoba 28. Kinachoshangaza kama kweli hio ndio sababu kuu kwa nini zoezi hilo halifanyiki Tanzania bara? Itakuwaje nchi yenye watu wanaokaribia milioni 60 waweze kujipanga na kila mtu kuweza kupiga kura siku moja, lakini nchini (nchi mkoa) yenye watu 700,000 wahitaji siku mbili? Pia mtu anafaa ajiulize ni kwa nini mfumo huu uwe kwa mara hii tu? Kwa nini haukuwa ukifanywa huko nyuma? Nahisi kuna watu wanataka kurusha changa la macho tu!Kwa mini wanapiga siku mbili wakuu.?
Hivyo ndiyo vipandikizi vya CCM. Vinatumwa kufanya hiyo kazi mwenye lake jambo kavaa mboga mboga.Ati Chama cha demokrasia makini
Mkuu vipi? Uliona wapi watu milioni 2 wakapige kura siku mbili ilihali milioni 29 wanapiga siku moja? Tume ndio iache utata na utoto kwanza.
Kwa mini wanapiga siku mbili wakuu.?