Zanzibar 2020 Maalim Seif ametakiwa kufika katika Kamati ya maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar kujibu tuhuma za kukiuka maadili ya uchaguzi

Zanzibar 2020 Maalim Seif ametakiwa kufika katika Kamati ya maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar kujibu tuhuma za kukiuka maadili ya uchaguzi

Tume ya Uchaguzi Visiwani Zanzibar imemtaka Mngombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha @ACTwazalendo maalim @SeifSharifHamad kufika kwenye kamati ya Maadili Majira ya saa 7 mchana kujieleza juu ya malalamiko yaliyotolewa na chama cha Demokrasi makini kuhusiana na Kauli Aliyoitoa siku za hivi karibuni ya kuwaambia watu wakapige kura Oktoba 27 mwaka huu badala ya Octoba 28 siku iliopangwa na ZEC.

"Narudia SOTE TUKAPIGE KURA OKTOBA 27"- amesisitiza tena Maalim Seif baada ya wito huo.
Aliyetangaza ni tume 27 na 28 na time haijakataza watu wote kwenda, hizi sasa ni adhabu za sekondari za kung'oa visiki.
 
Nileteeeni Gwajimaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaàaaaaaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Hamnionei hata huruma sauti hadi inakauka

Sent using Jamii Forums mobile app
Ya sita ingekuwa; " Nileteeni Gwaa" na yeye chini!
 
Hayo Mambo aliyataka Maalim Seif mwenyewe pale alipokataa kushiriki uchaguzi wa marejeo akawaachia CCM peke yao watawale Baraza la wawakilishi, Sasa wakapitisha Sheria ya uchaguzi wa mapema. Kufuta hii Sheria Hadi muswada upelekwe Tena kwenye Baraza la wawakilishi.
Baraza la wawakilishi lilikuwa batili na sheria ni batili. Umeona wapi kuwa na makamo wa pili wa raisi bila ya kuwa na wa kwanza? Wewe mtu akimtafuna mke wako utaendelea kukaa nae tu kwa vile unaogopa jamaa atakuwa anmla freely?

The whole point Maalim hakuweza kushiriki kwenye uchaguzi batili. Kukubali kushiriki kwake kunge legitimize uharamia wa Jecha na waliomtuma.
 
Screenshot_20201010-141123.png
IMG_20201010_141146.jpg
IMG_20201010_141201.jpg
IMG_20201009_120543.jpg
IMG_20201009_120551.jpg
 
Kwa mini wanapiga siku mbili wakuu.?
Hata mimi nashangazwa na hilo. Eti nasikia upugaji wa tarehe 27 utahusisha makundi yote yatakayohusika kusimia uchaguzi wa Oktoba 28. Kinachoshangaza kama kweli hio ndio sababu kuu kwa nini zoezi hilo halifanyiki Tanzania bara? Itakuwaje nchi yenye watu wanaokaribia milioni 60 waweze kujipanga na kila mtu kuweza kupiga kura siku moja, lakini nchini (nchi mkoa) yenye watu 700,000 wahitaji siku mbili? Pia mtu anafaa ajiulize ni kwa nini mfumo huu uwe kwa mara hii tu? Kwa nini haukuwa ukifanywa huko nyuma? Nahisi kuna watu wanataka kurusha changa la macho tu!
 
Kwa nini CCM ambacho ndio kinachoongoza zanzibar hakilalamikii juu ya hili na badala yake chama cha demekraisa halisi ambacho ndio kinachokimbilia kulalamika? Tena hii sio mara yao ya mwanzo, why?
 
Hawafiki milioni 2 hata watoto wachanga pia wakihesabiwa. Wapigakura ni 500,000 tu.
Mkuu vipi? Uliona wapi watu milioni 2 wakapige kura siku mbili ilihali milioni 29 wanapiga siku moja? Tume ndio iache utata na utoto kwanza.
 
Mbinu ya wizi wa kura mchana kweupeee.Wasimamizi na walinzi wa kura za mapema ni kina nani?Hapo ndipo Mh.Maalim Seif anakotakiwa kusimamia kwa miguu yake yote na wananchi wanatakiwa kumuunga mkono.Nani alishauri hili suala la siku mbili za kupiga kura Zanzibar na kwa manufaa ya nani?
Kwa mini wanapiga siku mbili wakuu.?
 
Back
Top Bottom