Zanzibar 2020 Maalim Seif kufunga kampeni zake kisiwani Pemba leo

Zanzibar 2020 Maalim Seif kufunga kampeni zake kisiwani Pemba leo

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
631
Reaction score
1,577
Leo tarehe 22/10/2020, Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amewasili kisiwani Pemba kuhudhuria Mkutano wa Kufunga Kampeni Kisiwani humo katika viwanja vya Tibirinzi Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.

Katika msafara wake Maalim Seif ameambatana na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Ndugu, Nassor Mazrui, Katibu wa Idara ya Habari na Uenezi Ndugu, Salim Bimani na Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Ismail Jusa.

WhatsApp Image 2020-10-22 at 8.59.00 AM.jpeg
WhatsApp Image 2020-10-22 at 8.59.12 AM.jpeg


Abeid Khamis Bakar
Afisa Habari na Uenezi
ACT Wazalendo Zanzibar.
 
tunawatakia kila la heri,
jambo la msingi tudumishe Amani na upendo.....hatuhitaji kusikia umwagaji wa damu wa wazanzibari/aatanzania wenzetu
 
Mwisho ni uchaguzi huu,akishashindwa uchaguzi arudi CCM atulie ale pensheni zake za uwaziri kiongozi na umakamo wa kwanza wa Rais.
 
Moja ya kauli nzito ya Maalim Seif ni kuhusu kuibiwa kura siku ya siku, hapo ndipo utofauti wa Maalim huyu na yule aliyezoeleka itakuwepo, let wait and see.
 
CCM huko Zanzibar mgombea wetu Hussein Mwinyi atashinda zaidi ya 60%..
 
Back
Top Bottom