Zanzibar 2020 Maalim Seif kufunga kampeni zake kisiwani Pemba leo

Zanzibar 2020 Maalim Seif kufunga kampeni zake kisiwani Pemba leo

Maalim kafunga kampeni mapema namna hii. Hivi uchaguzi si Tarehe 28/10/2020? Siku 6 kabla ya uchaguzi.- Ok, kila la Kheri Maalim. Raisi wa Zanzibara 2020/2025. Ikulu nyeupeeeee!
 
Back
Top Bottom