ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 631
- 1,577
Tunasubiria goli la dakika ya 89 ya mgombea uraisi wa chama chake. Yaani siasa kunawakati unakua njia panda
Naona askofu Shoo kaunga mkono juhudi Kilimanjaro huko
Membe kashikwa na tumbo la kuhara dakika ya 89Tunasubiria goli la dakika ya 89 ya mgombea uraisi wa chama chake. Yaani siasa kunawakati unakua njia panda
Hivi huwa unampikia mumeo saa ngapiAtafungaje akati uchaguzi mbando?
Mbando! 🤭Atafungaje akati uchaguzi mbando?
Am singleHivi huwa unampikia mumeo saa ngapi
Kwani hawezi kuzila akiwa act?Mwisho ni uchaguzi huu,akishashindwa uchaguzi arudi CCM atulie ale pensheni zake za uwaziri kiongozi na umakamo wa kwanza wa Rais.