Zanzibar 2020 Maalim Seif: Nitakubali matokeo ikiwa Uchaguzi Mkuu utakuwa huru

Hapa ndipo ninapowashangaa wenzangu wapinzani. Mpaka leo hii, uchaguzi si huru , yaani mapaka sasa leo na dakika hii uchaguzi ni batili, sasa Maalim anasubiri kitu gani batili? Hakuna uchaguzi huru na wa haki hadi dakika hii. If action should start now! Not jioni au kesho...
Watu kama nyie ndio huwa mnaolewa na wanawake. Mnaweka miguu juu kusubiria mke alete chakula mle.

Hilo si suala la wapinzani.

Ni kitu gani Maalim Seif hajapambania ?

Suala hili ni la kila mtu, huwezi kuachia vyama. Mna personalise mapambano ndio maana na wao wakipata madaraka wanafanya yanfamilia maana walipambana wenyewe.
 
Hapa ndipo ninapowashangaa wenzangu wapinzani. Mpaka leo hii, uchaguzi si huru , yaani mapaka sasa leo na dakika hii uchaguzi ni batili, sasa Maalim anasubiri kitu gani batili? Hakuna uchaguzi huru na wa haki hadi dakika hii. If action should start now! Not jioni au kesho...
Hapana mkuu, action wont start before a triggering point which is matokeo. Ukianza sasa hivi kutokubali hata observers watakushangaa na kukuuliza nini kilichokufanya uact while election bado?
Uvumilivu ni muhimu though una mwisho wake
 
You might be very right, excellently right, but kama huna wakala kwenye vituo utapata nini?
 
Back
Top Bottom