Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Kwani huo muungano vipi mbona mnawalazimishia muungano wakati hawautaki, Zipi faida za kuwa na huo muungano?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi wa kipumbavu na kisenge“Mimi sioni tabu kumwambia (Magufuli) tugawane mbao”. Haya ni maneno aliyoyatamka Mgombea wa Urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad akiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Mkele, Mjini Magharibi visiwani Zanzibar.
Kauli hiyo ameitoa sambamba na kauli zingine nyingi ambazo zinaonesha dhamira ya dhati ya Maalim Seif Sharif Hamad kuvunja Muungano endapo tu atachaguliwa kuwa Rais katika Visiwa hivyo.
Ameendelea kusema hata kama Rais Magufuli atachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania basi atamwambia Rais Magufuli abaki na Tanganyika na yeye (Maalim Seif) Zanzibar. Hii ni kauli inayoashiria wazi kuwa Mgombea huyu hana nia njema na Muungano ambao umedumu na kuenziwa na Marais wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ile ya Mapinduzi Zanzibar, kwa takribani miaka 56 tangu uasisisiwe na Waasisi wake, Hayati Mzee Abeid Aman Karume na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mnamo Aprili 26, 1964.
Tunapenda kumkumbsha Maalim Seif na Chama cha ACT Wazalendo kuwa dhambi ya ubaguzi mnayotaka kuitekeleza haitawaacha salama watanzania kwani itaathiri maisha ya watanzania wa pande zote ambao kwa miaka yote wameishi na kufanya shughuli zao za kiuchumi na kijamii mahali popote bila kubaguliwa wala kubughudhiwa.
Uimara na utulivu wa Muungano huu ambao ni mkongwe zaidi barani Afrika, umekuwa wa kutolewa mfano na kuzifanya nchi nyingi kuunda umoja ikiwemo Jumuiya ya Ulaya, Jumuiya ya Afrika Mashari na Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), kuzitajakwa uchache.
Ni rai yetu kwa Wazanzibari na watanzania kwa ujumla, kuwakataa viongozi wa aina ya Maalim Seif ambae hata hajaingia madarakni anaanza kuonesha wazi wazi kuwagawa watanzania. Tuchague kiongozi kutoka Chama kitakachowaunganisha watanzania na kuwapa uhuru wa kufanya shughuli zao mahali popote bila kubaguliwa wala kubughudhiwa kwa ajili ya ustawi wa maisha yao.
Wao vichwa vyao kama bofloWazanzibar hawawataki nyie Machogo. Mnataka muelezwe nini ili muelewe?
Wewe hata shule inaonekana ulikimbia
Tusubiri tuone mtu atakavyoweza kuendesha hiyo biashara from Pemba badala ya kuwa on sight na kumiliki nyumba buguruni wakati anatakiwa kuwa pembaAaahh hilo si tatizo, kwani si wengine wameekeza hata nairobi na mombasa kenya, na maisha yanaendelea..............!
Nina mashaka na wewe kiongozi wa wapigadeki na wakuna Nazi majumbani mwao😂😂😂😂😂Wewe huwezi kuwa kiongozi hata katika familia yako
“Mimi sioni tabu kumwambia (Magufuli) tugawane mbao”. Haya ni maneno aliyoyatamka Mgombea wa Urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad akiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Mkele, Mjini Magharibi visiwani Zanzibar.
Kauli hiyo ameitoa sambamba na kauli zingine nyingi ambazo zinaonesha dhamira ya dhati ya Maalim Seif Sharif Hamad kuvunja Muungano endapo tu atachaguliwa kuwa Rais katika Visiwa hivyo.
Ameendelea kusema hata kama Rais Magufuli atachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania basi atamwambia Rais Magufuli abaki na Tanganyika na yeye (Maalim Seif) Zanzibar. Hii ni kauli inayoashiria wazi kuwa Mgombea huyu hana nia njema na Muungano ambao umedumu na kuenziwa na Marais wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ile ya Mapinduzi Zanzibar, kwa takribani miaka 56 tangu uasisisiwe na Waasisi wake, Hayati Mzee Abeid Aman Karume na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mnamo Aprili 26, 1964.
Tunapenda kumkumbsha Maalim Seif na Chama cha ACT Wazalendo kuwa dhambi ya ubaguzi mnayotaka kuitekeleza haitawaacha salama watanzania kwani itaathiri maisha ya watanzania wa pande zote ambao kwa miaka yote wameishi na kufanya shughuli zao za kiuchumi na kijamii mahali popote bila kubaguliwa wala kubughudhiwa.
Uimara na utulivu wa Muungano huu ambao ni mkongwe zaidi barani Afrika, umekuwa wa kutolewa mfano na kuzifanya nchi nyingi kuunda umoja ikiwemo Jumuiya ya Ulaya, Jumuiya ya Afrika Mashari na Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), kuzitajakwa uchache.
Ni rai yetu kwa Wazanzibari na watanzania kwa ujumla, kuwakataa viongozi wa aina ya Maalim Seif ambae hata hajaingia madarakni anaanza kuonesha wazi wazi kuwagawa watanzania. Tuchague kiongozi kutoka Chama kitakachowaunganisha watanzania na kuwapa uhuru wa kufanya shughuli zao mahali popote bila kubaguliwa wala kubughudhiwa kwa ajili ya ustawi wa maisha yao.
Sio lazima sote tukasome shuleni, wewe uliesoma ukinielewesha pia sawa. Nitakulipa fresh tu kwa kazi yangu ya u-djRudi ukasome shuleni kuhusu hizo habari za muungano

Huu mgawanyiko anaoutaka ni kwa faida yake binafsi. . .tukivunja muungano Wazanzibari watapata tabu zaidi kuliko WatanganyikaUnataka faida?
Mi Kama mtanzania nitasema kuwa anataka kutugawa kwa faida ya mzanzibar, na nyie kwa faida zenu kama watanganyika, kushnehi
Dogo, achana na ramli chonganishi.. mbona wabara huko ZNZ walishapigwa, wakavunjiwa makazi, wakachomewa nyumba zao za ibada na kufurushwa huko na huo muungano upo, au we mgeni?? Hiyo ni hulka ya watu, haihusiani na muungano.Mimi staki kumungunya maneno,tukivunja muungano kwa jazba,usishangae wakaja watu na visasi kuwa wazenj wote rudi kwenu.
Mimi nimeona General Idd Amin alivyowafukuza zaidi ya 70,000 wahindi Uganda.
Pia nimeona Kenya mara kunapokuwepo msuguano wa kisiasa kati ya Tanzania na Kenya,mara nyingi watanzania waliopo Kenya watakamatwa ,kupigwa na kuharibiwa mali zao.
Hii ni tabia yetu.
Kuishi kwingi kuona mengi,chuki tunayo ndani imejificha inataka trigger mechanism kuonekana.Dogo, achana na ramli chonganishi.. mbona wabara huko ZNZ walishapigwa, wakavunjiwa makazi, wakachomewa nyumba zao za ibada na kufurushwa huko na huo muungano upo, au we mgeni?? Hiyo ni hulka ya watu, haihusiani na muungano.
Pia Tz ilishakorofishana na Kenya mara nyingi, ila wakenya waishio Tz hawakuguswa