Zanzibar 2020 Maalim Seif Sharif Hamad unataka kutugawa Watanzania kwa faida ya nani?

Kwani huo muungano vipi mbona mnawalazimishia muungano wakati hawautaki, Zipi faida za kuwa na huo muungano?
 
Labda ungeanza na kuainisha yafuatayo:-
Faida za muungano kwa pande zote mbili
Hasara za muungano kwa pande zote mbili
Halafu ukamaliza na changamoto za muungano kwa pande zote mbili
Kisha utuulize, wangapi tunataka huo muungano
 
Uzi wa kipumbavu na kisenge
Msipoteze muda wenu kuusoma
 
Aaahh hilo si tatizo, kwani si wengine wameekeza hata nairobi na mombasa kenya, na maisha yanaendelea..............!
Tusubiri tuone mtu atakavyoweza kuendesha hiyo biashara from Pemba badala ya kuwa on sight na kumiliki nyumba buguruni wakati anatakiwa kuwa pemba
 
Wewe huwezi kuwa kiongozi hata katika familia yako
Nina mashaka na wewe kiongozi wa wapigadeki na wakuna Nazi majumbani mwao😂😂😂😂😂
 
Kama mnaleta ungese kwa nini ajikombe?
 
Wao wazanzibari hawataki muungano nyinyi watanganyika mnalazimisha kwa nini.hawataki kuwa na tanganyika bado mnawalazimisha kwanini.watanzania bara mmekuwa kama yanga kumg'ang'ania morrison wakati morrison haitaki yanga
 
Rudi ukasome shuleni kuhusu hizo habari za muungano
Sio lazima sote tukasome shuleni, wewe uliesoma ukinielewesha pia sawa. Nitakulipa fresh tu kwa kazi yangu ya u-dj
 

Unataka faida?

Mi Kama mtanzania nitasema kuwa anataka kutugawa kwa faida ya mzanzibar, na nyie kwa faida zenu kama watanganyika, kushnehi
 
Unataka faida?

Mi Kama mtanzania nitasema kuwa anataka kutugawa kwa faida ya mzanzibar, na nyie kwa faida zenu kama watanganyika, kushnehi
Huu mgawanyiko anaoutaka ni kwa faida yake binafsi. . .tukivunja muungano Wazanzibari watapata tabu zaidi kuliko Watanganyika
 
Dogo, achana na ramli chonganishi.. mbona wabara huko ZNZ walishapigwa, wakavunjiwa makazi, wakachomewa nyumba zao za ibada na kufurushwa huko na huo muungano upo, au we mgeni?? Hiyo ni hulka ya watu, haihusiani na muungano.

Pia Tz ilishakorofishana na Kenya mara nyingi, ila wakenya waishio Tz hawakuguswa
 
Kuishi kwingi kuona mengi,chuki tunayo ndani imejificha inataka trigger mechanism kuonekana.
Unataka tufanye simulation?au umesahau kuwa CCM hiyo ikiwa one party in parliament ikiongozwa na G45 ya Njeru Kasaka na Jenerali Ulimwengu walipitisha mswaada wa serikali tatu,baada ya kugunduwa machungu ya Raisi kutokea Zanzibar kutawala bara !
Kuna waliokwenda mbele zaidi kuwa wangetamani Zanzibar ikavutwa na kusogea mbali na bara.
Lakini kama haitoshi raisi mstaafu Mwl.Nyerere alikuwa mara kwa mara akimkosoa raisi Mwinyi mbele ya vyombo vya habari.Kisa ni Zanzibar kutawala bara.
2025 ni zamu ya Zanzibar kutawala bara sitashangaa kusikia hao waliokuwa wanapinga serikali tatu kusikia wamepitisha mswaada wa serikali tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…