Zanzibar 2020 Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

Sidhani nna haja ya kuongea sana ukweli tayari umeanza kuonekana, Pemba ni ya Mwinyi 👌
 
Unapoongea hebu ongea kwa facts, hayo sijui mapokezi, sijui maafa ungetuletea picha kidoogo tungekuelewa.
Seif kashindwa kujaza kibanda maiti tu.
 
Ni ukweli usiopingika kabisa Na tukifanya ulinganisho wa mapokezi ya Jana ni wazi kuwa Maalim ndio Mwisho wake na Mwanzo wa ushindi mnono wa CCM katika Visiwa vya Pemba kwa kuwa Ngome ishavunjwa na mlango wa ushindi wa CCM upo wazi kabisa.
Takwimu hazidanganyi
 
Ndugu yangu kama kusoma hujui hata picha huoni?
 
Mwinyi ndio chaguo letu la uhakika, tuna imani nae atatuletea mabadiliko chanya ✅
 

Attachments

  • 3CF4BE21-4DD4-4A21-A607-07D681EAD76A.jpeg
    110 KB · Views: 3
Mkuu umeandika pointi tupu!!
Kule kuvurugana Kwa CUF na bado CUF ikaendelea kuweko Zanzibar ni faida Kwa CCM
 
Kiukweli takwimu hazidanganyi, muandishi umenena vyema sana. Nadhani mtu yeyote atakayepinga ni mvivu wa kufikiri na hajalisoma andiko vizuri.

Safi sana tandale one
 
Ukiwekeza katika utumishi mwema,kuheshimu kila mmoja ni dhahiri kuwa WEMA NI AKIBA ndicho hasa tunakiona kwa Dr. Mwinyi aliwekeza wema na sasa atavuna matunda ya wema wake kwa waPEMBA na waZanzibar kwa ujumla wao
 
Maalim amelaghai kwa Siasa mbovu na uchwara kwa muda mrefu sana. Sasa kwisha. Huwezi kumwacha kijana Msomi mahiri, mpole na muadilifu halafu uende kwa babu Tena babu anayenadi Sera za machafuko na umimi
 
Mabadiliko ya kweli yapo ndani ya chaka sahihi ; wanapemba wenzangu tumchague Mwinyi kwa ajili ya maendeleo naamini utendaji kazi wake ni wa hali ya juu tangu chipukizi hatujakosea na tupo kwenye sehemu sahihi ... okyoba tukampe kura za ndio na za kutosha sio za manati 💪🇹🇿✅
 
Kwa umati huu naamini kabisa ndio Mwisho wake Maalim seif
 
Angalia umati huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…