Zanzibar 2020 Maalim Seif Sharif: Mwisho wa enzi, Pemba

Kwa data izo wapinzani warudi tu ulaya wakawaambie wale walio watuma kua mambo uku ni magumu Tanzanja haijaribiwi kizembe, maana siku zote mabeberu wanajivuniaga kututenganisha waafrika kupitia udini, ukabila, na ukanda, kwa Tanzania icho kiti hakipo yaani wazungu wanaumiza vichwa wafanye nini, ndipo wanaamua kutumia wanafiki kama tundu lissu, maalim na wenzie, hawatoweza kamwe ccm ni chama imara.
Quote ReplyReport Edit
 
Kwa umati huu naamini kabisa ndio Mwisho wake Maalim seifView attachment 1572153
Imebidi kwanza nicheke. Kwa mwenye ndugu Pemba ambaye ni mfanyakazi wa Serikali amuulize. Huo ni mjumuiko wa mkutano wa Wafanyakazi wa Serikali waliolazimishwa kwenda mkutanoni, wana CCM, wanafunzi, makada kutoka Unguja waliokuja na msafara wa mgombea, komba komba ya watu maeneo yote kwa magari ya bure, matumizi ya pesa nyingi na gharama kubwa.

Pemba tena. Hio analysis ya Mtoa Mada inaonesha haijui Zanzibar seuze Pemba.

Kura za CCM Pemba ratio yake ni hii 2015, 2010, na huko nyuma 5(Maalim Seif) : 0. 1( CCM)

Mwaka huu ni hivyo hivyo.

145,000 Kura 2020. 7: 0. 1.


Pemba kura hazibadiliki.

Fuatilia ujuzwe zaidi.
 
Kwakua lengo la seif sio jema basi hata akishindwa hatakubal na badala yake ataona kaonewa
 
Hata mleta uzi yeye mwenyewe haitaki CCM maana imeleta ufukara wa kutosha
 
Kiumbe mwingine kutoka Lumumba asiyeijua Pemba, Wapemba wala siasa za Pemba!!

Pitia hii picha hapa chini:-


Je, baada ya hilo "nyomi" Dr. Shein na CCM walipata nini Pemba?!!
 
Kiukweli ndugu mawazo huwa hayapigwi rungu mawazo yanajibiwa na mawazo yaliyobora zaidi ,, ni vyema ndugu kama huna hoja ya kujibu andiko la tandaleone ni Bora unyamaze , taka yako wewe sio taka ni takataka , taka yetu sisi ndio taka na tunaisimamia ,,taka ya wananchi ni kuichagua CCM na watu wake wote kuanzia Raisi,Wabunge na Madiwani.
 
Yaani CCM Zanzibar wanapenda kujifariji sana.

Nani asiejua kuwa wanafunzi kuanzia Form 1 mapak 6 wameambiwa lazima waende mkutanoni? Tunajua kuwa wafanyakazi wote wa umma mmewalazimisha kwenda kwenye mkutano na wasipokwenda kibarua kitaota nyasi. Vipi kuhusu wana CCM mliowakomba Unguja na kuwapeleka Pemba kwa kutumia pantoni ya Sea Express 1? Masheha wakigawa shati na kofia usiku kwa kila mtu bila kujali chama gani πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€

CCM haijawahi kukubalika Pemba na wala haitokubalika. CCM wenyewe hawaipendi Pemba na wapemba wake. Walisema mpemba kuingia ikulu ni sawa na mbwa kuingia msikitini!
 
Hata kama haitashinda pemba, zanzibar siyo pemba peke yake, lakini pia ukae ukijua kwamba kura za pemba mwaka huu kwa ccm zitaongezeka hata kama hazitazidi za ACT,,

Huko kusema CCM inalazimisha watu.kuhudhuria mikutanoni ni propaganda tuu na hazina udhibitisho wowote.

Tusubir tuone tarehe ya uchaguzi ukweli utaonekana wazi
 
Chilubi ni bora uwe mtu ambaye unafikili sana na kuongea sana kuliko kufikiri kidogo na kuongea sana
 
Ccm wanaliwa pesa zO tu.
 
Chilubi ni bora uwe mtu ambaye unafikili sana na kuongea sana kuliko kufikiri kidogo na kuongea sana
Tunajua mbinu zenu za kuvusha watu kwa maji πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Bila shaka na wewe ni miongoni mlovushwa kuja kuongeza idadi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…